Hizo pesa ni za malipo ya ununuzi wa shirika la uda kwa Saimon Group .mchakato ambao wao kama chadema waliuona ni ubatili kwa hiyo na fedha zake ni batili.
Kama vipi tafuta mtandaoni " kesi ya idi simba kuhusu uda"
Ccm ni wajinga sana,hapa namuona Paul Makonda (Bashite) akitaka kumpokonya Boniface umeya wa jiji kwa kuwa Boniface alishawahi kuligangamalia suala la vyeti vya Bashite!