minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mtukufu ambaye kapigwa ndumba na Bashite hafurukuti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtukufu ambaye kapigwa ndumba na Bashite hafurukuti
Hizo pesa ni za malipo ya ununuzi wa shirika la uda kwa Saimon Group .mchakato ambao wao kama chadema waliuona ni ubatili kwa hiyo na fedha zake ni batili.Meya aligoma fedha hizi zisitumike kwa sababu zipi....yaani ni nini hasa kilitokea?
Ccm ni wajinga sana,hapa namuona Paul Makonda (Bashite) akitaka kumpokonya Boniface umeya wa jiji kwa kuwa Boniface alishawahi kuligangamalia suala la vyeti vya Bashite!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo sio ya kucheka hayaHalafu!!! Mbwa nyie
Kwa hili sina la kusema.Lakini mbona alituletea kanyanga ?