Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzushi hizo ni tuhuma feki zimetengenezwa na makonda ili wapate kumng’oa madarakani, hizi ni mbinu za kishamba kijinga sana na haziwezi kuongeza ndege viwanda na kuleta maendeleoKashindwa kuitisha vikao ambavyo vimesababisha zaidi ya shilingi bilioni 5 kutotumika. Kutumia vibaya gari la halmashauri ya jiji. Kupigana na meya wa temeke. Utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kushindwa kuenda sambamba na kasi ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii ya tano imejaa wana ccm wenye chuki za kichawiccm imejaa sijui nini
Mkuu tangu mpime DNA na mkeo na kuthibitika watoto wote wa tano uliowalea ukidhani ni wako kumbe wa Mbowe miaka iyo yote
Kupinga tuhuma ni tofauti na kuthibitisha tuhumaHaya madai yote aliyapinga, tatizo wenye maamuzi ni hao hao waliomtuhumu, haki haiwezi kutendeka kwenye mazingira hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ok kwa hiyo hata kama wameona amefanya ubadhilifu wamwachie tu sababu ni wa chama cha upinzani eeeh...s.tt..u.p..i.ddCCM wanataka kurejesha mfumo wa chama kimoja
hahaha unamuuliza nani..jijibu mwenyeweHii ina faida gani kwa uchumi wa viwanda & midege
yani wewe umeona mahakama ndio chaka la wabadhilifu..mnawachukulia poa mahakimu eeehHili lilishajulikana mapema sana, ccm kama hawakutaki watakuondoa hata kwa lazima,huko mahakamani alipokwenda kuzuia hilo sijui imekuaje..
Sent using Jamii Forums mobile app