evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Sasa kuna halmashauri ya Jiji la DSM , Oliyokuwa inaitwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala ndio imekufa.Sasa kuna Jiji la Ilala au halipo tena?
Pili je jiji la Dar Bado lipo au lipo la Ilala?
Hakukuwahi kuwa na kitu kinaitwa Jiji la Ilala, kuna wilaya ya Ilala tu,