Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa nadhani huu ukumbi ni maalumu kwa mambo ya msingi. kumbe hata kwa mambo ya kipumbavu namna hii!!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Kwakweli hii inadhihirisha ni jinsi gani tupo mbele ya ujinga kuliko ujinga wenyeweKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Hii nchi kuielewa inahitaji umakini sanaaa, kumbe kuna ajira za kificho hivyo....View attachment 2478363
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulipofikia
Mwaka 1995-96 alikuwa mbunge kupitia NCCR Mageuzi, sasa Nyerere akiwa hai alimkimbia iweje leo kafa anasema angekuwa chawa wake?
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Huyu hawezi kukosaBila shaka mwenyekiti wao atakuwa ni sitivu nyerere
Umeandika kwa hisia za juu Kama mlima KilimanjaroHizo ndizo kazi za Mayor?
Jiji linanuka kwa uchafu!! then jiongozi pumba.vu linaenda kuidhalilisha CCM na mauzinduzi ya kijinga kama haya!
Rais Samia usikubali kudhalilishwa na hawa Wachumia tumbo!
Piga marufuku maujinga kama haya ya kutumia Jina lako vibaya!
Hilo neno au maneno " CHAWA WA MAMA" linakera masikioni na vichwani mwa watu wenye akili!
Hawa walishajitoa ufahamu wanaweza kunya hata hadharani ili mradi mkono uende kinywani!
kuunga mkono ni kitu tofauti , hawa ni chawa , yaani wanataka kula mgongoni mwa mamaUpuz mtupu,waingie barabarani wakafanye usafi huko nako ni kutawaonesha wanamuunga mkono
Rais
Ova
Duhkuunga mkono ni kitu tofauti , hawa ni chawa , yaani wanataka kula mgongoni mwa mama
Huo ndo mtaji wa chama cha mambuziHao chawa unakuta wananuka madeni kila mahali kutokana na ugumu wa maisha.
Nauli ya kufikia eneo la tikio wamekopa.
Maji waliyotumia kuoga wamechota kwa jirani.
Ukosefu wa ufahamu ni tatizo kubwa sana kwa sasa ingawa Mbwembwe kibao.
Nimecheka utadhani mazuri.
Hii topic sidhani kama inamuhusu Mwendakuzimu lakini hata yeye alikuwa na chawa wengi sana ila kwa majina tofauti, wengine wapo humu JF wanapambana kulinda 'legacy' yake.Mlimnanga sana mwendazake na kumsifia kwa sana mama, sasa kiko wapi? we kubali tu yaishe kama alivyofanya mwenyekiti wako, kwa siasa za Tanzania ukiziweka sana kifuani utapata ugonjwa wa moyo na kuacha familia yako ikiteseka, Jenerela Ulimwengu ana kamsemo kake kila ''mtu na kamhogo kake'' wacha watuwasifie ndivyo wanavyoishi kula yao inategemea na upepo wa mwenye kigoda.