Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Sasa kuna Jiji la Ilala au halipo tena?
Pili je jiji la Dar Bado lipo au lipo la Ilala?
Sasa kuna halmashauri ya Jiji la DSM , Oliyokuwa inaitwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala ndio imekufa.
Hakukuwahi kuwa na kitu kinaitwa Jiji la Ilala, kuna wilaya ya Ilala tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…