Pre GE2025 Meya wa jiji la Mbeya: Kila mtanzania anatamani Dkt. Tulia awe mbunge wa jimbo lake, Mbeya mkikataa aendelee atagombea jimbo lolote atashinda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wauza unga wanamtaka Tulia
 
Wanambeya muda wausingizi umeisha,nimuda wa kuwa macho hakuna kupitwa na chochote,kumbuka kila jema,ila usisahau baya,kwani maisha yanamapito mengi,ila kumbuka mapito ni mengi zaidi au neema imetawala zaidi.Kisha usiache kujiuliza kwanini yote hayo?Je nini chanzo na sababu,hata dunia imeonekana kutuchoka.Acha kulala Ammkaaa
 
Ni kweli, aletwe Arusha atapata zaidi ya 95% Rais wa mabunge duniani haiwezekani ashindwe ubunge wa jimbo. Dunia itawaona wapiga kura nyumbu si binadamu wenye akili zao.
 
Tulia ni takataka tu ililetwa na Magufuli mwaka 2020 wala hatukumpigia kura.

Huyo anayesema Mstahiki Meya anayempigia debe ni mnufaika tu wa mfumo wa Tulia Trust. Jiji la Mbeya ni chafu, halina barabara, limejaa bajaj tu anazokopesha Tulia.

Yaani serious anatuletea matamasha ya ngoma na akina Zuchu na mchumba wa P Diddy anadhani ndiyo vitatushawishi?? Tunataka maendeleo cc The Watchman
 
Ni kweli, aletwe Arusha atapata zaidi ya 95% Rais wa mabunge duniani haiwezekani ashindwe ubunge wa jimbo. Dunia itawaona wapiga kura nyumbu si binadamu wenye akili zao.
Hafai hata kulumangia. Wenzake walikotokea maspika wa bunge, maendeleo yalikimbizwa sana. Mbeya hata kiwanja cha kisasa cha michezo hatuna.

Sasa tujivunie urais wa wabunge duniani kwa lipi?
 
Yaani serious anatuletea matamasha ya ngoma na akina Zuchu
Na barabara za katikati ya jiji hali mbaya mashimo kama yoote, Huduma za afya mbovu, stendi ya mabasi iliyochokaa kama spare tairi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…