johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda yupo chatoMeya wa manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba.jeshi.la.polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo...
Mlishaambiwa wakimaliza wapinzani mtafuatana wenyewe kwa wenyewe. Dhuluma mbayaMeya wa manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba.jeshi.la.polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo...
Kafichwa na wanachukua chako mapema au,kwani wametofautiana wapi🚶Meya wa manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba.jeshi.la.polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema.Urio hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui.alipo
Fununu zinadai Urio amefichwa.mahali.fulani ambalo bado hawajapajua amesema.Songoro
Source: wwwchannel ten
Kama wanathubutu waanza nawakwiba chaguzi kama SII chafuzi 🚶Polisi waanze na wewe
XKuna mchepuko kamfungia. Yasemekana ni mpiga mitungi mzuri sana huyu. Na mitungi na bebez ni mapacha wanaofanana
Duh...!.Meya wa manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba.jeshi.la.polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema.Urio hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui.alipo
Fununu zinadai Urio amefichwa.mahali.fulani ambalo bado hawajapajua amesema.Songoro
Source: wwwchannel ten
We jamaa Diwani wa Kawe si yule mtoto wa Mama Rwakatare anaitwa Mutta Rwakatare!! Angalia file lako vizuri, Kunduchi nadhani ndio anaitwa UrioMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema Urio hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Urio amefichwa mahali. ulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema Urio hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Urio amefichwa mahali. ulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Labda kafichwa na Mzee MdeeMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema Urio hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Urio amefichwa mahali. ulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten