Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Muta Rwakatare diwani wa Kawe.

Muta Rwakatare ni rais wa chama cha ngumi Tanzania.

Muta Rwakatare ni mrithi wa Mali zote za mama yake Getruda Rwakatare kuanzia Kanisa na mashule yote ya St. Mary's ( Dar, Mbeya, Mwanza na Ifakara).

Muta Rwakatare hawezi kupoteza muda aje akae kwenye kikao Siku nzima kwa posho ya elfu 30.
 
Huyo diwani si ni wa CCM? atapoteaje sasa?
 
Reactions: Qwy

Amefichwa na sukuma gang!
 
Amesafiri kwenda kutafuta maisha
 
Amefichwa na nani? Kama hajaonekana kwenye vikao muda mrefu kwa nini hawakusema hadi leo?
 
Reactions: Qwy
Kapata jimama hiyo !!
 
Hii familia ilikuwa na mgogoro wa Mali na nduguze

Nadhan mgogoro unaweza kuwa sababu

Kuna Uzi upo humu unazungumzia haya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Post yako ndiyo nimeielewa kati ya zote nilizozisoma, hili somehow linaweza kuwa sababu kama kweli hajulikani alipo manake Bongo drama zimezidi yaani kubaini uongo ni upi na ukweli ni upi ni challenging task.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…