johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda.
Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama ni John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Diamond amewalipia bima ya afya akina mama 1000 yenye jumla ya thamani ya sh 36milioni.
Dai ametoa pikipiki 20 kwa vijana was Tandale kama njia mojawapo ya kukuza ajira.
Dai amkabidhi mama mmoja Bajaj mpya ili imsaidie kimaisha.
Dai ampeleka Hawa was " Nitarejea" India kupata matibabu ya maradhi yanayomsumbua.
Le mutuz amlipia bima ya afya mwanamama mmoja.
Shigongo Naye atoa pikipiki tatu kwa vijana was Tandale.
Haji Manara amejitolea kuwalipia bima ya afya watoto wenye ulemavu watakaoanza darasa la kwanza mwakani Kara ya Tandale.