Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

Kama ni kweli hiyo ni dharau kubwa sana.Inaonesha jinsi gani Taifa linadharauliwa.Heshima ya nchi imeporomoka kwa kiwango kikubwa sana.
 
haya shihata tumekupata ni msimu wenu wa kujidai. Ole wenu tushike madaraka tumewaandalia adhabu nzuri lukuki za vifo kati ya hizo, beheading, drowning, poisoning, hunging, firing squad, burning in the cage, throwing from cliffs and high building. Endeleeni tu.

Pray we dont get into power!
Wewe endelea kubeba mabox huku wala hatukutambui
 
Wewe endelea kubeba mabox huku wala hatukutambui
sitamani kutambuliwa na mifedhuli mawakala wa ibilisi ambao hawajali kodi ya wananchi. Its not acceptable and fundamentaly wrong playing and misusing taxpayers money and public funds. Angalieni tu mnavyoharibu maisha ya watu. Wananchi wanaishi maisha ya shida na ya ajabu. Jamaa yenu hana hata aibu yeye safari kila siku salasala.
 
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama no John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Itapendeza sana
 
Tunakusubiri ila ukizidi sana tunakufuata tu huko huko!!

You are dealing and messing around with a wrong person. Naweza kupenyeza ngerengere nikafly yale ma migs chakavu ya 1970s nakuwashushia vitu vizito vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka hapo lumumba
 
Mnyika hamumpati ng'ooo hata kwa mtutu wa AK47, tuna habari zenu za yule waziri wenu lukuuvy anaye kesha kwa mnyika akijaribu kumshawishi usiku na mchana mnyika kuvua 'gwanda' bila mafanikio......nyie endeleeni na hayo manunga liyembee kama kubenea, ryoba na mtattiro
Thibitisha Mkuu kuwa Lukuuvy huwa anakesha kwa Mnyika!
 
Nazani hata iyo happy birthday kodi za walalahoi zimetumika pia da haya mambo haya
 
haya shihata tumekupata ni msimu wenu wa kujidai. Ole wenu tushike madaraka tumewaandalia adhabu nzuri lukuki za vifo kati ya hizo, beheading, drowning, poisoning, hunging, firing squad, burning in the cage, throwing from cliffs and high building. Endeleeni tu.

Pray we dont get into power!
Hahaha ni revenge tuu au vipi?
 
sitamani kutambuliwa na mifedhuli mawakala wa ibilisi ambao hawajali kodi ya wananchi. Its not acceptable and fundamentaly wrong playing and misusing taxpayers money and public funds. Angalieni tu mnavyoharibu maisha ya watu. Wananchi wanaishi maisha ya shida na ya ajabu. Jamaa yenu hana hata aibu yeye safari kila siku salasala.
Hivi huko ndo huwa anaenda kugegeda muke ya mutu ?jamaa lifuska sana na upara wake.
 
Back
Top Bottom