Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,210
Mnaweza nunua wote ila mbunge wangu na rafiki yangu mkubwa, special seat mp upendo peneza, geita, NG"O huyo mumusahau kabisa, hakuna hela ambayo mnaweza tumia kumununua, hata mumupatie hela yote ambazo ziko hapo BOT , hatachukua na hana haja nazo, hata wote wahame chadema, peneza atabaki kuwa katika upizani