Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mze kwa maandalizi kama hayo, hata Mwenyezi Mungu hawezi sikia maombi yako akupe madaraka. Badirisha dhamila.haya shihata tumekupata ni msimu wenu wa kujidai. Ole wenu tushike madaraka tumewaandalia adhabu nzuri lukuki za vifo kati ya hizo, beheading, drowning, poisoning, hunging, firing squad, burning in the cage, throwing from cliffs and high building. Endeleeni tu.
Pray we dont get into power!
Weka cd nyingine kwani hii imeshachuja kama sio kutoboka na kuscrach! Huyo anayehama ana kitita kibindoni je, wewe? Shangilia tu shibe za wenzako! Laiti ungemuomba daidomo akufundishe kuimba ungeweza kupata za kununulia shati la mtumba tandika!Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama no John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Pliease usitukane watu, hii ni dharau ya kupitilizaAsilimia kubwa ya watanzania ni watu wenye upeo/uelewa mdogo sana..
Kwa hiyo? Mtajenga viwanda vingapi akiwa kama mbatia?Hadi 2019 Mbowe atakuwa kama Mbatia/Zitto
Lipi. lini, na wapi?? Mtei anaingiaje hapa?Mtei anasema nini kuhusiana na hili.
Mmeshanyooka wallah!Weka cd nyingine kwani hii imeshachuja kama sio kutoboka na kuscrach! Huyo anayehama ana kitita kibindoni je, wewe? Shangilia tu shibe za wenzako! Laiti ungemuomba daidomo akufundishe kuimba ungeweza kupata za kununulia shati la mtumba tandika!
Hivi kati ya aneye nunuliwa na aneye nunua nani anaonekana mjinga?Mkimaliza kuwanunua viongozi wetu mje kutununua sisi wapiga kura hapo mtakuwa wajanja
Chadema wako sokoni!Hivi kati ya aneye nunuliwa na aneye nunua nani anaonekana mjinga?
Duh yani sku Chadema inaniboa kabisa...watu wananuliwa kama ma-dada poa
Kwa hiyo birthday ya Diamond inakuwa ya kisiasa!!!! Huyu msanii ni mwanaccm au kashauriwa vibaya!Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama no John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama no John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya was Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Mtaa wa ufipa sasa ni Diamond st!Wambea wa tandale kumbe na humu mumo!?
Na watawaliwa watabaki maskini milele...CCM itatawala milele usisahau hill!
Kwani Mbowe maskini?!!!!Na watawaliwa watabaki maskini milele...
Na wewe utakuwa kama nani?Hadi 2019 Mbowe atakuwa kama Mbatia/Zitto
Heeee hadi RC kwenye birthday jamani?
Wewe anakutambua nani hapo Lumumba? Kama walivyochemsha wengi hapa jukwaani baada ya kukosa uteuzi nawe utachemsha tuu....Wewe endelea kubeba mabox huku wala hatukutambui
Hahaha Copenhagen DnThubutu maamae. You are dealing and messing around with a wrong person. Naweza kupenyeza ngerengere nikafly yale ma migs chakavu ya 1970s nakuwashushia vitu vizito vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka hapo lumumba
Unajua nini dogo? Kinywa hunena yaujazao moyo hivyo haya ya kunyooka yanakukabili pande zote za dira! Tulia na endelea kushangilia ili angalau waendelee kukutupia buku saba japo siku hizi zimeadimika kama jasho la kuku!Mmeshanyooka wallah!