Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

Mkuu ulimsikiliza Pole pole,?
Alisema ccm imekataa kuwapokea wsbunge watatu was cdm was mkoa was dar es salaam
Kwa maana hiyo waliokataluwa kujinga na ccm kwa sababu ya matusi na matendo yao,dhidi ta viongozi was ccm na serikali ni LAZIMA watskuwa
1-John MNyika
2-Kubenea
3-Halima Mdee hawa ndio wabunge waliokataliwa kujiunga na ccm kwa mojibu was Pole pole.
Dhana hii inatokana na ukweli kwamba Kinondoni,Kigamboni,Segerea,Ukonga,Temeke/Mbagala zote zipo na wabinge was ccm.
Kawe,Ubungo,na Kibamba ndizo pekee zipo cdm.
Leo slowslow ni mtu wa kutumia maneno yake kama ushahidi ushahidi ndani ya huu mjengo
 
Viwanda vya awamu ya 5 toka iingie madarakani
Mtulia
J kalanga
Mollel
M waitara
Nk vingine vitakuja pigeni makofi wana ccm
 
Ni jambo bora la haki na heri kutoa kuliko kupokea, Nawasifu wale wote wanaotoa vitu au pesa zao kwa ajili ya wengine wenye uhitaji. Lakini kutoa kwa "kujitangaza" hakuna dhawabu yoyote ile kutoka kwa MUNGU, bali ni kutafuta sifa na utukufu kutoka kwa Wanadamu.
 
haya shihata tumekupata ni msimu wenu wa kujidai. Ole wenu tushike madaraka tumewaandalia adhabu nzuri lukuki za vifo kati ya hizo, beheading, drowning, poisoning, hunging, firing squad, burning in the cage, throwing from cliffs and high building. Endeleeni tu.

Pray we dont get into power!
Mdogo wangu Copenhagen mbona umekuwa mtu wa ajabu hivi siku hizi!?
Tatizo ni nini haswa ndugu? Siamini kama huyu ni wewe ambaye tulikuwa tunakula summer pamoja pale Strøget!
 
Ni jambo bora la haki na heri kutoa kuliko kupokea, Nawasifu wale wote wanaotoa vitu au pesa zao kwa ajili ya wengine wenye uhitaji. Lakini kutoa kwa "kujitangaza" hakuna dhawabu yoyote ile kutoka kwa MUNGU, bali ni kutafuta sifa na utukufu kutoka kwa Wanadamu.
Hivi kuna watu huwa wanawasaidia watu wenye uhitaji kwa lengo la kupata DHAWABU!?
Mimi nilijua unatoa msaada kwakuwa unahisi una uwezo wa kusaidia wengine.
 
Mkuu wa wilaya kisarawe naye hakua mbali na tukio
42326703_2137189869678000_4379994297718349561_n.jpg
 
Hivi kuna watu huwa wanawasaidia watu wenye uhitaji kwa lengo la kupata DHAWABU!?
Mimi nilijua unatoa msaada kwakuwa unahisi una uwezo wa kusaidia wengine.
Wanaotoa msaada kwa sababu ya kuguswa na matatizo ya wengine ili wawasaidie huwa hawajitangazi, wao hutoa kimya kimya kwa upendo wa dhati. Hawa watu wanaojitangaza wakati wakitoa misaada, lengo lao ni kutafuta "sifa" na "utukufu" wa wanadamu.
 
Kafanya vizurii lakin ukute kafanya hivyo kwa kutegemea apate kitu flan hicpvi mbeleni
Uko sahihi kabisa mkuu, huyu Diamond kuna kitu anatarajia kukipata kutoka kwa Serikali au kwa wakazi wa Tandale. Usije shangaa mwaka 2020 akatangaza kugombea Ubunge. Kama akina Profesa J wamekuwa Wabunge kwanini yeye ashindwe kuupata.

Kuna vitu viwili ukiwanavyo hapa Bongo unakuwa Mbunge, "pesa" na "umaarufu", zaidi sana ni "umaarufu na kujulikana" na Diamond mpaka sasa anavyo vyote viwili.
 
Back
Top Bottom