Mkuu ulimsikiliza Pole pole,?
Alisema ccm imekataa kuwapokea wsbunge watatu was cdm was mkoa was dar es salaam
Kwa maana hiyo waliokataluwa kujinga na ccm kwa sababu ya matusi na matendo yao,dhidi ta viongozi was ccm na serikali ni LAZIMA watskuwa
1-John MNyika
2-Kubenea
3-Halima Mdee hawa ndio wabunge waliokataliwa kujiunga na ccm kwa mojibu was Pole pole.
Dhana hii inatokana na ukweli kwamba Kinondoni,Kigamboni,Segerea,Ukonga,Temeke/Mbagala zote zipo na wabinge was ccm.
Kawe,Ubungo,na Kibamba ndizo pekee zipo cdm.