Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda.

Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama ni John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!

Updates:

Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Diamond amewalipia bima ya afya akina mama 1000 yenye jumla ya thamani ya sh 36milioni.
Dai ametoa pikipiki 20 kwa vijana was Tandale kama njia mojawapo ya kukuza ajira.
Dai amkabidhi mama mmoja Bajaj mpya ili imsaidie kimaisha.
Dai ampeleka Hawa was " Nitarejea" India kupata matibabu ya maradhi yanayomsumbua.
Le mutuz amlipia bima ya afya mwanamama mmoja.
Shigongo Naye atoa pikipiki tatu kwa vijana was Tandale.
Haji Manara amejitolea kuwalipia bima ya afya watoto wenye ulemavu watakaoanza darasa la kwanza mwakani Kara ya Tandale.
 
Njaa inauma,angalia usile nyau
 
Upuuzi mtupu. Yaani kuhama kusiko na tija hujo.
Watanzania tuna safari ndefu sana.
 
Mnyika hamumpati ng'ooo hata kwa mtutu wa AK47, tuna habari zenu za yule waziri wenu lukuuvy anaye kesha kwa mnyika akijaribu kumshawishi usiku na mchana mnyika kuvua 'gwanda' bila mafanikio......nyie endeleeni na hayo manunga liyembee kama kubenea, ryoba na mtattiro
 
haya shihata tumekupata ni msimu wenu wa kujidai. Ole wenu tushike madaraka tumewaandalia adhabu nzuri lukuki za vifo kati ya hizo, beheading, drowning, poisoning, hunging, firing squad, burning in the cage, throwing from cliffs and high building. Endeleeni tu.

Pray we dont get into power!
 
CCM itatawala milele usisahau hill!
 
Hivi umaskini wa Tanzania ulisababishwa na CHADEMA ?na baada ya wabunge wote wa chadema kwenda CCM ,Tanzania itakuwa tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…