Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha binadamu hamna jema! Mbona nyie barua mmefoji weekend yote hii? Kwanini msingesubiri hata working days?Ili ujue madaraka matamu, jamaa katishiwa tu kuondolewa kapost video usiku usiku, hata hapajakucha.
bara baraniMleta mada hana tofauti na mtu anayeongea peke yake bara barani.
Mkuu naomba nikuulize kitu. Hivi ukiwa ccm akili huwa zinapotea?Ili ujue madaraka matamu, jamaa katishiwa tu kuondolewa kapost video usiku usiku, hata hapajakucha.
Broke and greedy moves only lead to disasters!Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
CCM haijawahi kutishia!!Ili ujue madaraka matamu, jamaa katishiwa tu kuondolewa kapost video usiku usiku, hata hapajakucha.
Ama kwa hakika umeya ni habari nyingine, shavu limekua dodo, yaani linabonyea tu.Hahahaha binadamu hamna jema! Mbona nyie barua mmefoji weekend yote hii? Kwanini msingesubiri hata working days?
Inaziba kwa ivo ulitaka yeye ndiyo akazibue?Lakini mitaro pale stendi kuu, mvua ikinyesha inaziba.
Hehe pale mshambuliaji anaposhambuliwa ndipo anakuwa hivi, umegeuka bubu mzee, huna hoja.Inaziba kwa ivo ulitaka yeye ndiyo akazibue?
Kuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya.
JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo.
Ameshangaa kuona barua Mkurugenzi ikifanya marejeo ya barua ambayo haijatoka ndani ya chama chake (CHADEMA).
View attachment 1437931
View attachment 1437937View attachment 1437813[/CENTER]
View attachment 1437817
View attachment 1437818
Muda wa kutengeneza barua fake katikati ya janga la Corona mnautoa wapi?!Hehe pale mshambuliaji anaposhambuliwa ndipo anakuwa hivi, umegeuka bubu mzee, huna hoja.
Jamaa anapaswa kuhakikisha stendi kuu pale ubungo inakuwa alama ya utofauti kati ya Chadema na CCM ila yeye kawekeza kwenye kukuza mashavu badala ya kufanya anachopaswa kufanya.
Wapinzani mnapaswa kutumia nafasi mnazozipata, kama mnasubiria nafasi nyingine sidhani kama mtaipata.
Moderator msiunganishe, waache waendelee kubwatuka kule kule kama wagonjwa wa akili!