Ulituahidi utatujengea shule kule Ibwera mbona umetapeli kama mlivyotapeliwa na Kitengo mpaka baba watoto ikabidi awe shoopkeeperDr Slaa ni mdhambi na dhambi hizo zimewapoteza kwenye ramani!🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulituahidi utatujengea shule kule Ibwera mbona umetapeli kama mlivyotapeliwa na Kitengo mpaka baba watoto ikabidi awe shoopkeeperDr Slaa ni mdhambi na dhambi hizo zimewapoteza kwenye ramani!🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Dah! ona aibu! yaani wewe kuwa na nembo za chama kwenye computer unashirikiana na ccm, we ndo ume doctor document za cdm kufake barua, hata kama uko ughaibuni umetenda jinai, unamuaibosha baba ju...orDr Slaa ni mdhambi na dhambi hizo zimewapoteza kwenye ramani!🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Kwa hiyo tuendelee kuamini kwamba amefukuzwa?Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Meya anawekeza kwenye kunenepa tu, mashavu yanaongezeka ila maendeleo hakuna.Muda wa kutengeneza barua fake katikati ya janga la Corona mnautoa wapi?!
Mnajitahidi kutafuta michango huku mnawakera wachangiaji, sijui akili zenu ziko wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana Corona huyo muda wowote anadondokaHahahaha kuna mpuuzi mmoja hapo anasema sio halisi maana imerekodiwa kwenye simu!!/
Mkuu sio siasa, tuna wapumbavu wanafanya siasa.
We unafikiri kwanini CCM wameng'ang'ania? Madaraka matamu Ndiyo.Tanzania kila siku nchi maskini lakini Bado tu wanasema wanafaa kuongozaMadaraka ni matamu aisee, jamaa wananenepa tu, ila wananchi hali inabakia vile vile.
Thubutu,Hana jeuri hiyoKwa unene ule kweli mwaka huu anaweza kupiga "Push Up"
Huyo Mkurugenzi Ni single mother au?Nilikuwa najiuliza huwa wanatumia utaratibu gani kujiridhisha kama wanafanyia kazi maamuzi halali. Maana kutengeneza barua sio kazi ngumu
Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo akithibitisha kupokea barua kutoka chademu ya kumtimua uanachama Boniface Jacob.
Nilikuwa natafuta jibu kama hili toka ukurasa wa kwanza hadi wa tano! Maajabu ya JF.Hivi mkurugenzi alijiridhisha kabla ya kufanya maamuzi? Maana swala LA kufukuzwa MTU uwanachama sio siri Bali hutangazwa kwenye vyombo vya habari, mbona hatujasikia?
Yule mkurugenzi atakua na matatizo ya kifamilia, ni wale ambao ndoa zimewashinda na kukimbilia siasaHivi mkurugenzi alijiridhisha kabla ya kufanya maamuzi? Maana swala LA kufukuzwa MTU uwanachama sio siri Bali hutangazwa kwenye vyombo vya habari, mbona hatujasikia?
Wamejaz vilaza tupuNilikuwa natafuta jibu kama hili toka ukurasa wa kwanza hadi wa tano! Maajabu ya JF.
Hivi CCM inawabidi wajishushie heshima kiasi hiki? Mwisho wao wa kuona aibu ni upi; maana kuna mambo yasiyostahiri kufanywa na yeyote ili kulinda heshima, hata kama imebaki ndogo.
Kiukweli inaonekana huu mpango ulisukwa naye kahusishwa.Vinginevyo Ni kukosa umakini Wa hali ya juu huyu mkurugenzi, huwezi Fanya maamuzi kama hayo bila kujiridhisha kamwe, je mkurugenzi kwa hill hawezi akaisababisha serikali kupoteza fedha au rasilimali zake kizembe? Je haiwezi tokea Siku akasaini Hundi ya mamilion kutoka kwenye akaunti za halmashauri bila kujiridhisha? Kwa maoni yangu serikali inapaswa kumchukulia hatua Mara moja.Pia takukuru ilipaswa kuingia kazini.pia waandishi Wa habari wanapaswa kumuuliza kwa kina juu ya hili.Nilikuwa natafuta jibu kama hili toka ukurasa wa kwanza hadi wa tano! Maajabu ya JF.
Hivi CCM inawabidi wajishushie heshima kiasi hiki? Mwisho wao wa kuona aibu ni upi; maana kuna mambo yasiyostahiri kufanywa na yeyote ili kulinda heshima, hata kama imebaki ndogo.
Una ushahidi Mkuu?Ile Barua imetengenezwa na Kubenea.