Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
wasi wasi wako nini ?
Ni criminal huyo, Watanzania wote tuna ukoo wenye majina yanayotutambulisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasi wasi wako nini ?
Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Jana mmejaribu kumpindua sasa ndio mnamalizia hasira zenu kimtindo!.Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Na wewe hilo Barbarosa ni la ukoo au?Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Huyu jamaa makonda lazima kuna kitu mbaya alikufanyia mkuu.wasi wasi wako nini ? Vipi mtu akiitwa ubini wa Makonda huku ukoo wao ni Bashite hiyo unaionaje ?
Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Hana ofisi huyo ameshafukuzwa na wakuu wake wa Kata anatakiwa kukabidhi. Atakuwa kama Meya wa Jiji alivyong'ang'ania lakini mwisho wake alitoka. Mwambieni hata kinua mgongo hapati.
Ndio maana....kwao ni Kyela, Mbeya.
kwa hiyo wewe yeye kuombewa unakuwa na wivu kiasi hiki?
Ndio maana..
Yeye hajaenda karantini?
Wana ubungo tumkataa... Hatuwez kua na kiongozi anayefanya kazi Twitter. Ajiandae kama Mwita... Tunarudisha unga nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusikia kwao kyela umelegea kama mlenda kudadeki !Ndio maana..
kwa hiyo wewe yeye kuombewa unakuwa na wivu kiasi hiki?
Yeye kumsaidia Warioba wewe unapata wivu kiasi hiki?
Sio kweli kuna makabila hayana ukoo,kama wahayaNi criminal huyo, Watanzania wote tuna ukoo wenye majina yanayotutambulisha!
Mbona unaonekana kama una hasira hivi baada ya mipango mliyofanya kubuma. Mwambieni Polepole awarudishieni akili kidogo alizizifungia kwenye makabati ya lumumba ili mipanngo mnayofanyaa iwe ya kiakili zaidiUkishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?