Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Sasa huu ndo ushahidi kweli? Hao viongozi naishauri serikali iwalinde sana maana wanaweza kutekwa na kuamuliwa kurekodiwa kama hivi, huyu Jacob huwaga simuamini kabisa yuko violent sana
Broke and greedy moves only lead to disasters!

kush and Wisdom
 
Ell mshana Huyu jamaa ana MWENENDO USIOFAA yaani ni Zinde[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona hii kitu akili yake ilipoishia, mko too criminal, ni stress au? Jipangane na lichama lenu LA ovyooo
 
Hahahaha binadamu hamna jema! Mbona nyie barua mmefoji weekend yote hii? Kwanini msingesubiri hata working days?
Ama kwa hakika umeya ni habari nyingine, shavu limekua dodo, yaani linabonyea tu.

Lakini mitaro pale stendi kuu, mvua ikinyesha inaziba.
 
Mimi nilivyoiona tuu hiyo habari sikuiamini. Yaani Umfukuze uanachama Jacob bila kukupiga ngumi na zionekane kwenye mtandao??.

Huyo mwana mtata sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaziba kwa ivo ulitaka yeye ndiyo akazibue?
Hehe pale mshambuliaji anaposhambuliwa ndipo anakuwa hivi, umegeuka bubu mzee, huna hoja.

Jamaa anapaswa kuhakikisha stendi kuu pale ubungo inakuwa alama ya utofauti kati ya Chadema na CCM ila yeye kawekeza kwenye kukuza mashavu badala ya kufanya anachopaswa kufanya.

Wapinzani mnapaswa kutumia nafasi mnazozipata, kama mnasubiria nafasi nyingine sidhani kama mtaipata.
 
Mnahangaika na vyeo vya kupita mwishowe mnazalilika
 
Kuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya.

JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo.

Ameshangaa kuona barua Mkurugenzi ikifanya marejeo ya barua ambayo haijatoka ndani ya chama chake (CHADEMA).

View attachment 1437931

View attachment 1437937View attachment 1437813[/CENTER]
View attachment 1437817
View attachment 1437818

Amefanyia kazi barua isiyokuwa na minutes za kikao kilichomfukuza?

Amandla......
 
Hehe pale mshambuliaji anaposhambuliwa ndipo anakuwa hivi, umegeuka bubu mzee, huna hoja.

Jamaa anapaswa kuhakikisha stendi kuu pale ubungo inakuwa alama ya utofauti kati ya Chadema na CCM ila yeye kawekeza kwenye kukuza mashavu badala ya kufanya anachopaswa kufanya.

Wapinzani mnapaswa kutumia nafasi mnazozipata, kama mnasubiria nafasi nyingine sidhani kama mtaipata.
Muda wa kutengeneza barua fake katikati ya janga la Corona mnautoa wapi?!

Mnajitahidi kutafuta michango huku mnawakera wachangiaji, sijui akili zenu ziko wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doh hii kweli nyongo mkalia ini. Jamaa wanapokea barua wikend na kuijibu wikend[emoji848][emoji848]

Hlf we andika barua yako una shida uone utajibiwa baada ya miezi mingapi.

Ila huyu jakob naye achangamke sasa badala ya kujizungushazungusha tu wanaubungo wanataka maendeleo kwenye eneo lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom