Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Swali, mkurugenzi alitokea wapi weekend hadi akaandika barua akasaini?Kiukweli inaonekana huu mpango ulisukwa naye kahusishwa.Vinginevyo Ni kukosa umakini Wa hali ya juu huyu mkurugenzi, huwezi Fanya maamuzi kama hayo bila kujiridhisha kamwe, je mkurugenzi kwa hill hawezi akaisababisha serikali kupoteza fedha au rasilimali zake kizembe? Je haiwezi tokea Siku akasaini Hundi ya mamilion kutoka kwenye akaunti za halmashauri bila kujiridhisha? Kwa maoni yangu serikali inapaswa kumchukulia hatua Mara moja.Pia takukuru ilipaswa kuingia kazini.pia waandishi Wa habari wanapaswa kumuuliza kwa kina juu ya hili.
Kulikuwa na udharula gani wa yeye kuwepo Ofisini siku ya Week end??Swali, mkurugenzi alitokea wapi weekend hadi akaandika barua akasaini?
Wakikujibu nambie Mkuu!Kulikuwa na udharula gani wa yeye kuwepo Ofisini siku ya Week end??
Majibu ya Mayor BonifaceHivi mkurugenzi alijiridhisha kabla ya kufanya maamuzi? Maana swala LA kufukuzwa MTU uwanachama sio siri Bali hutangazwa kwenye vyombo vya habari, mbona hatujasikia?
Laana ni Nini na inafanyaje kazi?
Nashukuru kwa kuzaliwa Jana. Njaa ya CCM na umeya imeanza mbali hata taahira anafahamu hilo. Tumeona Iringa,Tanga, Dar Hata Mbeya na Arusha ila huko hesabu zimegoma.Meya ni wa chadema kafukuzwa na chadema barua imeandikwa na viongozi wa chadema unaposema ni hila za CCM napata ukakasi na fikra zako kama unawaza kwa kutumia kichwa
Asante kwa kuzaliwa leo hizo zote ulizoandika ni porojo, Kama huko kote ulipotaja wameweza kwa maaelezo yako sasa kipi kimewashinda hapo kwa Jacob? Au tuseme ni kiki yao chadema?Nashukuru kwa kuzaliwa Jana. Njaa ya CCM na umeya imeanza mbali hata taahira anafahamu hilo. Tumeona Iringa,Tanga, Dar Hata Mbeya na Arusha ila huko hesabu zimegoma.
Mchakato wa kumvua uanachama mtu mwenye hadhi ya umeya si mdogo hata kwenye jumuiya ya wapumbavu. Makao makuu lazima yalipaswa kujua mchakato huo kabla ya kufikishwa kwa mkurugenzi
LIMBOMAMBOMAKwa maoni yangu serikali inapaswa kumchukulia hatua Mara moja.Pia takukuru ilipaswa kuingia kazini.pia waandishi Wa habari wanapaswa kumuuliza kwa kina juu ya hili.
Mahaba mtu kwa CCM yamekupofua. Dar meya kalazimishwa kutoka pia Iringa achilia mbali waliofika bei wa Arusha, Ilala na Mbeya. Utokaji wao inakuwa big deal kwa viongozi wa sasa wa CCM. Swali kuna nini na huu umeya wa mwishoni.Asante kwa kuzaliwa leo hizo zote ulizoandika ni porojo, Kama huko kote ulipotaja wameweza kwa maaelezo yako sasa kipi kimewashinda hapo kwa Jacob? Au tuseme ni kiki yao chadema?
Huu mwaka ni balaaModerator msiunganishe, waache waendelee kubwatuka kule kule kama wagonjwa wa akili!
Siwezi sema kiki ya chadema kwani uamuzi huo hauwpi faida yoyote. Labda wewe unaijua.Asante kwa kuzaliwa leo hizo zote ulizoandika ni porojo, Kama huko kote ulipotaja wameweza kwa maaelezo yako sasa kipi kimewashinda hapo kwa Jacob? Au tuseme ni kiki yao chadema?
Tutakaribia kiongozi
Ni jambo jema!
wasi wasi wako nini ? Vipi mtu akiitwa ubini wa Makonda huku ukoo wao ni Bashite hiyo unaionaje ?Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Babu yake hana jina? Ina kabla ya Kuba Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Huyo ni criminal through and through!