Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea


Doh,imebidi nicheke tu,ni hasira za Meyor Jacob kuwa yuko Ofisini au una kingine Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana mmejaribu kumpindua sasa ndio mnamalizia hasira zenu kimtindo!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe hilo Barbarosa ni la ukoo au?
 

..kwao ni Kyela, Mbeya.
 
Hivi John Samwel ni majina ya ukoo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kuingia ofisni huyo ametimuliwa

Km unabisha Tukutane kesho
 
Zile Prado zile , viyoyozi na title wee acha tu, jamaa akatoa clip ya kujitetea usiku usiku.
 
Mbona unaonekana kama una hasira hivi baada ya mipango mliyofanya kubuma. Mwambieni Polepole awarudishieni akili kidogo alizizifungia kwenye makabati ya lumumba ili mipanngo mnayofanyaa iwe ya kiakili zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…