Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Sasa kama anaitwa hataki hata kupeleka utetezi hataki? Unategemea wafanyeje uongozi wa Kata?
Kamati tendaji ya Kata inayo mamlaka ya kumvua uanachama Mwanachama?

Inaonesha wewe una jambo binafsi na Mbowe maana kila baada ya sentensi moja unamtaja Mbowe!!
 
Demokrasia kwa Afrika inaweza kuwa na upumbavu mkubwa.!!
 
Sasa unatakiwa uwaulize hao wenzako kulikoni!
 
Sasa unatakiwa uwaulize hao wenzako kulikoni!
Inawezekana isiwe ni wenzetu ikawa ni wenzenu!

Hata hivyo vifungu vya kanuni walivyonukuu viko "Vague" sana kiasi kwamba haieleweki walinukuu toka wapi.

Tatizo ni Mkurugenzi na sio hao vilaza wa huko Ubungo!!
 
Inawezekana isiwe ni wenzetu ikawa ni wenzenu! Hata hivyo vifungu vya kanuni walivyonukuu viko "Vague" sana kiasi kwamba haieleweki walinukuu toka wapi.

Tatizo ni Mkurugenzi na sio hao vilaza wa huko Ubungo!!
Ni ujinga wa hali ya juu mfukuzane nyie mseme ni mwingine.
Sisiemu inaonekana mnaiogopa sana, hata kivuli chenu mnakiita sisiemu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…