Kama kikao kimekataa na kupitisha maamuzi mnapoteza muda tu hiyo kukosea kunakiri ibara haina maana sana. Kikao na quoram ndiyo muhimu.Hiyo barua ina makosa mengi sana ya kisheria. Mojawapo ni kutaja ibara ambayo haimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ibara za Katiba ya CHADEMA zimeishia Ibara ya 9.7 ambayo imo kwenye sura ya Tisa ya Katiba!!
Katiba ya CHADEMA haina Ibara kumi.
Utajiju!Umemtaja tena!!
bora ingeletwa na member tu,imeleta na uongoziHiyo barua ina makosa mengi sana ya kisheria. Mojawapo ni kutaja ibara ambayo haimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ibara za Katiba ya CHADEMA zimeishia Ibara ya 9.7 ambayo imo kwenye sura ya Tisa ya Katiba!!
Katiba ya CHADEMA haina Ibara kumi.
Akidi bila ya kufuata Katiba ni Uhuni!!Kikao na quoram ndiyo muhimu.
Mtajijua nyinyi na saccos yenu! Umeya hana tena labda akautafute Mahakamani na kama atashinda!Akidi bila ya kufuata Katiba ni Uhuni!!
Mkuu, chadema na zitto ni janga la taifa. Vipotee tu kwenye uso wa siasa, ndio shauku la watanzania wengi.Jamaa una roho mbaya sana. Sijui unaabudu Wapi kwa kweli. Yaani unavyofurahia, duh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtajijua wenyewe. Si nyie wenyewe ndio mmeitisha hicho kikao HALALI?Akidi bila ya kufuata Katiba ni Uhuni!!
Hakuna uhalali bila ya kufuata Katiba ya CHADEMA!!Mtajijua wenyewe. Si nyie wenyewe ndio mmeitisha hicho kikao HALALI?
Kwani dogo Boni ni mwanachama wa ccm?Mods acheni mambo yenu. Mjumbe wa kamati kuu ya chama kuvuliwa uanachama na wajumbe wa kata mnaleta breaking news? Hamuoni kuwa hizo ni njama za maccm na nyie mnaingia mkenge! Emb ondoeni huu utopolo humu.
Sasa aliyeifuata hiyo unayoota sio halali ni chadema au nani? Jilaumuni nyie wenyewe..Hakuna uhalali bila ya kufuata Katiba ya CHADEMA!!
Ndugu you are taking this issue too personal hebu kuwa objective you are better than thatAkidi bila ya kufuata Katiba ni Uhuni!!
Hii mimba haikuonekana kaonekana mtoto tu inauma sana
Hatuwezi kujilaumu kwa kuwa hakuna kitu cha kujilaumu. Mtoto wako ukimshika analamba sukari badala ya kuweka kwenye chai, huwezi kujilaumu wewe bali utamfundisha kwamba sukari hailambwi bali huwekwa kwenye chai!!Sasa aliyeifuata hiyo unayoota sio halali ni chadema au nani? Jilaumuni nyie wenyewe..
Kwa mfano!!Na bado! 2021 kila itakapozungumziwa Chadema itaanza na past tense! Ahahahah!
Ok.Hatuwezi kujilaumu kwa kuwa hakuna kitu cha kujilaumu. Mtoto wako ukimshika analamba sukari badala ya kuweka kwenye chai, huwezi kujilaumu wewe bali utamfundisha kwamba sukari hailambwi bali huwekwa kwenye chai!!
Naichukuliaje kibinafsi wakati mimi siyo Boniface wala si hao walioandika hiyo barua batili. Najiingizaje kwenye kundi la kujilaumu??Ndugu you are taking this issue too personal hebu kuwa objective you are better than that
Malofa in mkapas voiceKuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya.
JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo.
Ameshangaa kuona barua Mkurugenzi ikifanya marejeo ya barua ambayo haijatoka ndani ya chama chake (CHADEMA).
Zaidi, tutawajuza
========
Barua zinazosambaa ni hizi:
View attachment 1437817
View attachment 1437818