Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Hiyo barua ina makosa mengi sana ya kisheria. Mojawapo ni kutaja ibara ambayo haimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ibara za Katiba ya CHADEMA zimeishia Ibara ya 9.7 ambayo imo kwenye sura ya Tisa ya Katiba!!

Katiba ya CHADEMA haina Ibara kumi.
Kama kikao kimekataa na kupitisha maamuzi mnapoteza muda tu hiyo kukosea kunakiri ibara haina maana sana. Kikao na quoram ndiyo muhimu.
 
Hiyo barua ina makosa mengi sana ya kisheria. Mojawapo ni kutaja ibara ambayo haimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ibara za Katiba ya CHADEMA zimeishia Ibara ya 9.7 ambayo imo kwenye sura ya Tisa ya Katiba!!

Katiba ya CHADEMA haina Ibara kumi.
bora ingeletwa na member tu,imeleta na uongozi
 
Mmh!

Ya kweli? Maana Ex- bodyguard wa mwenyekiti avuliwe uanachama.
 
Mods acheni mambo yenu. Mjumbe wa kamati kuu ya chama kuvuliwa uanachama na wajumbe wa kata mnaleta breaking news? Hamuoni kuwa hizo ni njama za maccm na nyie mnaingia mkenge! Emb ondoeni huu utopolo humu.
Kwani dogo Boni ni mwanachama wa ccm?

Mbona masuala maguma mnapenda kuja na majibu mepesi mepesi.

Ebu naomba kujua,je CCM inahusika vipi kwenye hiyo barua na wanafaidika kivipi?

Kumbuka October uchaguzi mkuu.
 
Sasa aliyeifuata hiyo unayoota sio halali ni chadema au nani? Jilaumuni nyie wenyewe..
Hatuwezi kujilaumu kwa kuwa hakuna kitu cha kujilaumu. Mtoto wako ukimshika analamba sukari badala ya kuweka kwenye chai, huwezi kujilaumu wewe bali utamfundisha kwamba sukari hailambwi bali huwekwa kwenye chai!!
 
Ndugu you are taking this issue too personal hebu kuwa objective you are better than that
Naichukuliaje kibinafsi wakati mimi siyo Boniface wala si hao walioandika hiyo barua batili. Najiingizaje kwenye kundi la kujilaumu??
 
Kuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya.

JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo.

Ameshangaa kuona barua Mkurugenzi ikifanya marejeo ya barua ambayo haijatoka ndani ya chama chake (CHADEMA).

Zaidi, tutawajuza

========
Barua zinazosambaa ni hizi:

View attachment 1437817
View attachment 1437818
Malofa in mkapas voice
 
Back
Top Bottom