Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mwenye laana hawezi kulaani!!Tulionya 5 years ago tukapuuzwa.
Laana ya Dk Slaa ni kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye laana hawezi kulaani!!Tulionya 5 years ago tukapuuzwa.
Laana ya Dk Slaa ni kali
Nyie kila kitu ili mlipwe ni lazima mumtaje Mbowe? Anawajibika kwa kata kwenye kila jambo hata la kipuuzi? Hivi kanuni zoote zimefuatwa kwenye kumfukuza huo uanachama?
Uhuni huu, unamvuaje uanachama Meya bila hata Copy kwenda kwa Mwenyekiti wa ChamaKamati tendaji ya KATA ina nguvu za kumfukuza uanachama mtu? Hivi vyama hivi...
Mods acheni mambo yenu. Mjumbe wa kamati kuu ya chama kuvuliwa uanachama na wajumbe wa kata mnaleta breaking news? Hamuoni kuwa hizo ni njama za maccm na nyie mnaingia mkenge! Emb ondoeni huu utopolo humu.
Yani mods nao wameingia kwenye mkumbo wa kitoto kweli. Mamlaka ya mwisho ya kutangaza kumvua mtu uanachama ni kamati kuu kupewa mamlaka na halmashauri kuu. Sasa wao wepokea kikaratasi kimeburuzwa huko wanaandika breaking news. Ngoja sisi tunawaletea news za kutoka Geita mida hii.Sidhani kama CHADEMA wamekaa hicho kikao na kuazimia hayo maamuzi ya kumtema Meya, hapo inaonekana kuna viongozi wachache wamenunuliwa na kuandaa hiyo barua ya kumvua meya Uanachama na Umeya.
siasa za kipumbavu sana hizi
Kuna mahali nimesema hajafukuzwa? Alifukuzwa kwa kufuata taratibu?
Harafu DED nae anaact immediately. Hii kitu ipo coordinated. Hawa watu kuna deal wanataka kupiga na huenda Mayor alikuwa kawawekea block.Uhuni huu, unamvuaje uanachama Meya bila hata Copy kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama
So what! Mwenyekiti wa Chama hajawahi kuwa Mtendaji wa taasis! Mwana Chama hai anatambulika kwenye shina na kata yake!Uhuni huu, unamvuaje uanachama Meya bila hata Copy kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama
Wamerekebisha mkuu , ila wamekosea sanaYani mods nao wameingia kwenye mkumbo wa kitoto kweli. Mamlaka ya mwisho ya kutangaza kumvua mtu uanachama ni kamati kuu kupewa mamlaka na halmashauri kuu. Sasa wao wepokea kikaratasi kimeburuzwa huko wanaandika breaking news. Ngoja sisi tunawaletea news za kutoka Geita mida hii.
Hahaaa na bado..... Allen mtaisoma habari Kamili end of 2020, mlimpa laana zisizo na sababu! Matokeo yake zimewarudia ninyi. Kila aliyefungua kinywa kwa ubaya amehaibika.....Mwenye laana hawezi kulaani!!
Hela za uchaguzi mkuuHarafu DED nae anact immediately. Hii kitu ipo coordinate. Hawa watu kuna deal wanataka kupiga na huenda Mayor alikuwa kawawekea block.
Hata warekebishe! Imeshatoka! Katibu Mkuu anatoka Ubungo! Same people waliomuondoa unachama Bonifaso!Wamerekebisha mkuu , ila wamekosea sana