Pre GE2025 Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.

Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba

Tangazo lake hili hapa

 
Inasambaa Kwa Kasi Dunia ipi? Acha kuandika takataka
 
Wanaume hawa acha waoneshe Demokrasia
 
kwahivyo kumbe chadema kuna fitna sana, na ni Lazima ujue fitna ili kua kiongozi wa Chadema?

na hizo fitna ni kwaajili ya kanda ya pwani tu au nchi nzima kamanda?

Actually,
fitna zinaambatana na ushirikina, vipi eneo hilo ukimpima huyo mtangaza nia muungwana, anaweza? au nako huna chembe ya mashaka pia ushirikina na ramli chonganishi anazijua sana na sio mshamba right?πŸ’

dah,
nitafuatilia kiundani ili kujifunza na kuingeza uelewa juu ya hizo, fitna ushirikina na uchawi katika kutafuta uongozi chadema, dah, kitu kipya sana hichi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…