Pre GE2025 Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ametumwa na Mbowe hakuna jipya

USSR
Kama utakuwa ktk siasa lazima kuna mtu utakuwa unamtumikia , huu ndiio mfumo wa siasa dunia nzima. ukitaka uwe huru ingia katika maisha ya dini
 
Hii ndio aina ya watu wanaotakiwa kuwa viongozi Chadema.

- Anajimudu binafsi kiuchumi, hawezi kuyumbishwa kwa bahasha za khaki toka CCM.

- Amepitia madhila ya serikali ya CCM na polisi wake, anayajua machungu halisi ya kuwa mpinzani.

- Ni mtetezi halisi wa wanyonge wa taifa hili bila kujali itikadi zao, wala dini au rangi, mfano kwenye kupokea na kutangaza watu waliopotea wasiojulikana walipo.

Boniface J. Anastahili hiyo nafasi 100%.
 
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.

Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba

Tangazo lake hili hapa

View attachment 3084974
Mtu na nusu huyo....

Bro.Bonny namjua....jamaa ni chuma kweli...

Ninaamini katika siasa zake iko siku huko usoni sana...si karibuni...atahamia tu KULEEE....

#Nchi Kwanza[emoji2956]
 
Hii ndio aina ya watu wanaotakiwa kuwa viongozi Chadema.

- Anajimudu binafsi kiuchumi, hawezi kuyumbishwa kwa bahasha za khaki toka CCM.

- Amepitia madhila ya serikali ya CCM na polisi wake, anayajua machungu halisi ya kuwa mpinzani.

- Ni mtetezi halisi wa wanyonge wa taifa hili bila kujali itikadi zao, wala dini au rangi, mfano kwenye kupokea na kutangaza watu waliopotea wasiojulikana walipo.

Boniface J. Anastahili hiyo nafasi 100%.
Amen
 
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.

Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba

Tangazo lake hili hapa

View attachment 3084974
Uyu kapita ,mwamba mwenye bahati ya kuzaliwa na mama wawili
 
Mie sio mtu wa siasa kwa sana ila nimejikuta namkubali sana huyu jamaa, kule X hata kama zile harakati zake ni kimkakati atleast tunafarijika wananchi, kuliko wanasiasa wengine hawafanyi hata maigizo ya kuleta tija kwa jamii.
 
Back
Top Bottom