kiba brown
Member
- Mar 8, 2018
- 70
- 46
IpooMEZA YA DINNING MNINGA MPYAA KABISAA
meza ni mninga tupu urefu futi 6 upana futi 4
Viti vyake vya sofa vipo 6 best quality
Price 1,200,000
Nipigie kwa namba 0675326254
Nipo tabata.segereaView attachment 1644671View attachment 1644672View attachment 1644673View attachment 1644674View attachment 1644675View attachment 1644676
Inawezekana ni 120k wacha tusibiri.Samahani mkuu,
Unazungumzia 1,200,000 fedha taslim kwa malipo ya Nchi gani?
Ila Jf aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana ni 120k wacha tusibiri.
Nakuona mzee wa 'kula kimaskhara' upo na JamiiForum tu.Ila Jf aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba nipo niende wapi sasaNakuona mzee wa 'kula kimaskhara' upo na JamiiForum tu.
Kainunue mkuu , acha maneno mengiUtakuwa na shida ya pesa ya haraka.
Hii meza nilitegemea itakuwa million 1.5 - 1.9
Kwa bei za mbao mzinga na ufundi wake lazima igharimu zaidi 1,500,000. .
Nasikitika kuwa mtu wa kwanza kukufahamisha kuwa unaishi katika dunia ndogo sana ndugu yangu. .Kainunue mkuu , acha maneno mengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf raha Sana aisee, yaani mkuu kununua Meza hiyo ndio unajiona upo dunia tofauti Aisee , alafu mbaya zaidi umescreen short picha za kwenye mtanadao , me nilizani ni ndani mwako hongera Sana mkuu , bila Shaka ww utakua unaishi kwenye sayari kubwa ya Jupiter [emoji23][emoji23]Nasikitika kuwa mtu wa kwanza kukufahamisha kuwa unaishi katika dunia ndogo sana ndugu yangu. .
Jitahidi utoke ndani ya duara lako dogo utajifunza vitu vingi sana. Kama ungekuwa ushawahi hata kununua mbao moja usingebisha ila kwa sababu hujawahi utabaki na ubishi. Mie nina meza ya Tsh. 2,000,000/- kunambia nikanunue sidhani kama unaona unanikomoa. .
Mbna bei ndogo hyoo kwa mninga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf raha Sana aisee, yaani mkuu kununua Meza hiyo ndio unajiona upo dunia tofauti Aisee , alafu mbaya zaidi umescreen short picha za kwenye mtanadao , me nilizani ni ndani mwako hongera Sana mkuu , bila Shaka ww utakua unaishi kwenye sayari kubwa ya Jupiter [emoji23][emoji23]
Haha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf raha Sana aisee, yaani mkuu kununua Meza hiyo ndio unajiona upo dunia tofauti Aisee , alafu mbaya zaidi umescreen short picha za kwenye mtanadao , me nilizani ni ndani mwako hongera Sana mkuu , bila Shaka ww utakua unaishi kwenye sayari kubwa ya Jupiter [emoji23][emoji23]
Nakushauri Usihame, pamoja na walivyo kufanyia mabaya...😂😂Ila Jf aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sihami boss...japo wamenifanyia fitinaaNakushauri Usihame, pamoja na walivyo kufanyia mabaya...[emoji23][emoji23]