INAUZWA Meza ya dinning mninga bado mpyaaaa

kiba brown

Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
70
Reaction score
46
MEZA YA DINNING MNINGA MPYAA KABISAA
meza ni mninga tupu urefu futi 6 upana futi 4
Viti vyake vya sofa vipo 6 best quality
Price 1,200,000
Nipigie kwa namba 0675326254
Nipo Tabata Segerea

20201208_142840.jpg
20201208_142825.jpg
20201208_142125.jpg
20201208_142215.jpg
20201208_142148.jpg
20201208_142813.jpg
 
Samahani mkuu,
Unazungumzia 1,200,000 fedha taslim kwa malipo ya Nchi gani?
 
Daah hiyo bei sasa, cjui ndio umaskini wangu
 
Utakuwa na shida ya pesa ya haraka.
Hii meza nilitegemea itakuwa million 1.5 - 1.9
Kwa bei za mbao mzinga na ufundi wake lazima igharimu zaidi 1,500,000. .
 
mkuu cheki tena figa ya pesa iyo, umeongeza sifuri moja bahati mbaya
 
Kainunue mkuu , acha maneno mengi
Nasikitika kuwa mtu wa kwanza kukufahamisha kuwa unaishi katika dunia ndogo sana ndugu yangu. .
Jitahidi utoke ndani ya duara lako dogo utajifunza vitu vingi sana. Kama ungekuwa ushawahi hata kununua mbao moja usingebisha ila kwa sababu hujawahi utabaki na ubishi. Mie nina meza ya Tsh. 2,000,000/- kunambia nikanunue sidhani kama unaona unanikomoa. .
 
Attachments

  • Screenshot_20201103-222107.png
    Screenshot_20201103-222107.png
    323.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20201103-223243.png
    Screenshot_20201103-223243.png
    274 KB · Views: 6
  • Screenshot_20201103-223411.png
    Screenshot_20201103-223411.png
    185.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20201115-103721.png
    Screenshot_20201115-103721.png
    343.6 KB · Views: 6
Nasikitika kuwa mtu wa kwanza kukufahamisha kuwa unaishi katika dunia ndogo sana ndugu yangu. .
Jitahidi utoke ndani ya duara lako dogo utajifunza vitu vingi sana. Kama ungekuwa ushawahi hata kununua mbao moja usingebisha ila kwa sababu hujawahi utabaki na ubishi. Mie nina meza ya Tsh. 2,000,000/- kunambia nikanunue sidhani kama unaona unanikomoa. .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf raha Sana aisee, yaani mkuu kununua Meza hiyo ndio unajiona upo dunia tofauti Aisee , alafu mbaya zaidi umescreen short picha za kwenye mtanadao , me nilizani ni ndani mwako hongera Sana mkuu , bila Shaka ww utakua unaishi kwenye sayari kubwa ya Jupiter [emoji23][emoji23]
 
Mbna bei ndogo hyoo kwa mninga
 
Haha
Unajua mie nimekushngaa kabisa
Huwezi elewa maneno yangu kwa uelewa wa kawaida
Umebeza thread ya mtu halafu hujui ulichizungumza
Alafu sasa nikikuonyesha mesha yangu utaniamini kama yangu

Nilichomanisha kuwa tupo dunia moja, ila ulimwengu wako umeufanya kuwa mdogo, nikimanisha ukijifunngua macho ulimwengu wako utazidi kukua. Knowldge is Power, dont you know that?
 
Back
Top Bottom