Mfadhili Mkuu wa Captein Traore Ashutumiwa Kuiba Dhahabu ya Afrika Ili Kugharamia Vita na Ukraine.Russia ni Beberu Hajawahi Rafiki wa Afrika.

Mfadhili Mkuu wa Captein Traore Ashutumiwa Kuiba Dhahabu ya Afrika Ili Kugharamia Vita na Ukraine.Russia ni Beberu Hajawahi Rafiki wa Afrika.


Putin has a method of operation. Take whatever land mass you can, provided it has valued resources and no formidable defenses. We saw it in Crimea in 2014 and 2022. We're seeing it again in Africa today. Africa is the most resource-abundant continent in the world — gold, diamonds, oil, natural gas, copper, and uranium. Almost every African country has a deposit of natural resources. It is also the poorest developed continent in the world. 34 of its 49 countries' population live on less than one dollar a day. Putin slithers in with trade and assistance to gain trust, slowly tightens with military aid and equipment (his Wagner forces), establishes a solid troop and logistics presence, and strikes. Undoubtedly, he envisions air bases, naval ports, and eventually nukes for the African continent. From there, King of the World - who knows?
 
Chanzo chenyewe eti "Tanzania times" ambacho naamini kabisa hizi habari wamezitoa huko kwenye sites za mabeberu wa WEST.

Aina ya viongozi kama Ibrahim Traore wanapigwa vita sana ndani na nje ya Africa, Kwa humu Africa Huwa wanapigwa sana vita na nyie walamba makalio wa nchi za magharibi.

Nyie walamba makalio wa west Huwa mnawapenda na kuwa idolize viongozi dhaifu wanaojipendekeza Kwa West kama Samia.
 
Ni lini na wapi Rasilimali zimewahi wekwa bond ya Mkopo? Weka ushahidi
Aisee akili zako ni ndogo sana kama hata hili hulijui... Na ndio maana Huwa unashabikia mikopo inayokopwa kopwa kiholela na Samia pasipokujua analiweka taifa hatarini
 
And ?

Kwamba ulidhani hii sio Quid Pro Quo ?; Hata kama hii issue ni feki lakini katika hali ya kawaida kila mtu anafanya kitu ambacho ananufaika nacho..., cha muhimu ni wewe kwa upande wako ujue / ufahamu unanufaika vipi. Tatizo la hawa Overpaid / Underperforming Leaders wengi wa Afrika na kwa kipindi kirefu sana wamekuwa wanaangalia wenyewe wanavyonufaika na sio Taifa kwa ujumla...
 
Back
Top Bottom