FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hoja kwa hoja, look up djibouti. Otherwise hata kenge angeweza kupost hicho bila hoja🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja kwa hoja, look up djibouti. Otherwise hata kenge angeweza kupost hicho bila hoja🚮🚮
Huna hoja unaongea ujingaHoja kwa hoja, look up djibouti. Otherwise hata kenge angeweza kupost hicho bila hoja
Ata vikoba huwa kuna makubaliano ukiachana na ribaMakubaliano yapi zaidi ya Riba? Weka ushahidi usidhani Kila mtu ni punguani kama nyie na hao wajinga wenzenu mnaowashadidia.
Aisee akili zako ni ndogo sana kama hata hili hulijui... Na ndio maana Huwa unashabikia mikopo inayokopwa kopwa kiholela na Samia pasipokujua analiweka taifa hatariniNi lini na wapi Rasilimali zimewahi wekwa bond ya Mkopo? Weka ushahidi
Look up djibouti, dhihirisha ujinga kwa hoja.., hata kenge anaweza kuandika tu ‘ujinga’ bila hoja yoyoteHuna hoja unaongea ujinga
wanakuwekea mazingira ya kazimika kukopa at their desired rateKwani Kuna Nchi Huwa inalazimishwa kukopa Hadi iwaume? 😂😂
Akawaulize kina Nyerere
Sio hata west, chanzo cha habari chenyewe kinaitwa Tanzania times wewe umewahi kusikia wap hii mediaPropaganda za west hiz