Mfahamu Abby Chams, mtoto mwenye kipaji cha kutisha

Mfahamu Abby Chams, mtoto mwenye kipaji cha kutisha

Okay sawa.
Naona umejikita kuniattack mimi personally
Lakini hunijui na hufaidiki,I can do the same(attack you) lakini sitaonesha utofauti nawewe....we will go back and forth.
Umesema sijui lugha yoyote...that's fine sikupingi, but atleast I have shown to have the dignity and willingness to learn and respect my mother tongue.
I embrace my originality
I have pride in my indigenousness.
Halafu wewe bado huelewi, mimi
Sipingi mtu kujua kiingereza ila napinga mtu kutojua kiswahili na ni mtanzania.
Kiingereza,french,Germany hata kidutch waache wakijue tu lakini while wanajifunza hivyo wasipuuzie lugha mama kiswahili.
Kwasababu wewe na dunia yako mlikaa kikao mkapitisha english pekee kuwa official lugha ya dunia nzima Sawa
ila Bob Marley anakuambia "you will forever be slaves,you won't be free until you free your minds"
IUmesoma shule gani hiyo ya International? Nimependa kingereza chako.
 
Ishu sio kuongea kiingeleza,kijaruo au kijapan ishu ni kuwa unaishi Tz na hujui lugha ya nchi yako.Sio kwasababu ya msingi ila tu unapenda lugha ya kigeni ili uonekane mjanja
Hao wabunge wasipojua kiswahili hatuwachagui walahi.

Unaishi Dar na hujui kimakonde na wakati wewe ni mmakonde..lol
 
Ukiimudu ni vizuri namimi sishangai dogo kujua kiingereza kwasbabu hata kingereza chake cha kawaida mno.
ishu ni kuwa eti unakua mTz halafu hujui kiswahili does it come come?
Mimi kilugha nakitwanga ng'wadila ng'waguku.

Na hata mtu anayekulia mazingira ambayo wanaongea lugha fulani na kwasababu zake aamue kutoipenda hiyo lugha na kuchagua ya kigeni huo ni ufala na usaliti.

Wewe unamjua mzungu aliyekulia USA au UK hakui kiingereza?

jibu,mbona huongei kisukuma na wakati wewe ni msukuma na umekulia usukumani???

Vipimo hivyo hivyo ulivyotumia wewe kuongea Kiswahili na sio kisukuma,ndio hivyo hivyo alivyotumia mwenzako kutumia Kingereza na sio Kiswahili....

Usaliti ni opinion yako,haiwezi ikawa ndio ya kila mtu,na kwa vile anaongea Kingereza huwezi kuthibitisha hapendi Kiswahili..ndio maana inabaki ni opinion yako.

Mnhhhh wazungu kwani nao wana makabila na muingiliano wa lugha kama huku kwetu??,mzungu mbondei,mzungu mkurya ???LOL..........Hapana..mimi sijui kwa nini umetumia wazungu wakati unajua lugha kwao ni hio hio Kingereza...tena kukipa uzito,kingereza kinafundishwa hadi shuleni...japokuwa wamezaliwa na kukulia na lugha hio hio ya Kiingereza. huwezi kukataa umuhimu wa Kingereza nyakati za sasa,ndio maana wazazi wanahangaika kupeleka watoto wao English Medium Schools...au unadhania ni wajinga???
 
Okay sawa.
Naona umejikita kuniattack mimi personally
Lakini hunijui na hufaidiki,I can do the same(attack you) lakini sitaonesha utofauti nawewe....we will go back and forth.
Umesema sijui lugha yoyote...that's fine sikupingi, but atleast I have shown to have the dignity and willingness to learn and respect my mother tongue.
I embrace my originality
I have pride in my indigenousness.
Halafu wewe bado huelewi, mimi
Sipingi mtu kujua kiingereza ila napinga mtu kutojua kiswahili na ni mtanzania.
Kiingereza,french,Germany hata kidutch waache wakijue tu lakini while wanajifunza hivyo wasipuuzie lugha mama kiswahili.
Kwasababu wewe na dunia yako mlikaa kikao mkapitisha english pekee kuwa official lugha ya dunia nzima Sawa
ila Bob Marley anakuambia "you will forever be slaves,you won't be free until you free your minds"
Hebu ongea kidgo mkuu [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu sio kuongea kiingeleza,kijaruo au kijapan ishu ni kuwa unaishi Tz na hujui lugha ya nchi yako.Sio kwasababu ya msingi ila tu unapenda lugha ya kigeni ili uonekane mjanja
Hao wabunge wasipojua kiswahili hatuwachagui walahi.

Mtu hata akiongea kiingereza au Kijapani, kama hajaongea na wewe, kwanini ukwazike?
 
Unaishi Dar na hujui kimakonde na wakati wewe ni mmakonde..lol
Unaishi dar, je umekulia dar?
Umekua na wamakonde wanaoongea kimakonde?
Kama umekulia hiyo jamii mfano mtwara usipokijua unazingua.
ila ukikiulia dar ambapo hamna watu wanakiongea basi hata usipokijua siyo ajabu(although unatakiwa ukijue)
Lakini kiswahili mzee? niambie sehem gani Tanzania mtu anaweza kukulia ambapo hawakiongei?
 
Mtu hata akiongea kiingereza au Kijapani, kama hajaongea na wewe, kwanini ukwazike?
Mimi sikwaziki hata akiongea kihindi.
Nakwazika mtanzania hajui kiswahili inamaana hauthamini utanzania na sioni haja ya kumsapoti mtu wa namna hiyo
 
jibu,mbona huongei kisukuma na wakati wewe ni msukuma na umekulia usukumani???

Vipimo hivyo hivyo ulivyotumia wewe kuongea Kiswahili na sio kisukuma,ndio hivyo hivyo alivyotumia mwenzako kutumia Kingereza na sio Kiswahili....

Usaliti ni opinion yako,haiwezi ikawa ndio ya kila mtu,na kwa vile anaongea Kingereza huwezi kuthibitisha hapendi Kiswahili..ndio maana inabaki ni opinion yako.

Mnhhhh wazungu kwani nao wana makabila na muingiliano wa lugha kama huku kwetu??,mzungu mbondei,mzungu mkurya ???LOL..........Hapana..mimi sijui kwa nini umetumia wazungu wakati unajua lugha kwao ni hio hio Kingereza...tena kukipa uzito,kingereza kinafundishwa hadi shuleni...japokuwa wamezaliwa na kukulia na lugha hio hio ya Kiingereza. huwezi kukataa umuhimu wa Kingereza nyakati za sasa,ndio maana wazazi wanahangaika kupeleka watoto wao English Medium Schools...au unadhania ni wajinga???

Umejuaje sikijui kisukuma??nakijua saaana.
Na ishu sio kuongea kisukuma au kiingereza ishu ni kutokujua kiswahili na unaishi nchi ya kiswahili

Unaposema wazungu wanajua kiingereza kwasababu hawana makabila mbalimbali namimi nakuuliza hapa bongo kuna kabila la wazungu wanaishi mkoa fulan ambapo huyu abby alikulia hicho kijiji asijue kiswahili?

Achana na makabila Marekani kuna mitaa ya wachina,waspaniora n.k na unakuta wanaongea lugha zao sana huko lakini hata huko wazawa wanajua kiingereza labda awe foreigner.
 
Mimi sikwaziki hata akiongea kihindi.
Nakwazika mtanzania hajui kiswahili inamaana hauthamini utanzania na sioni haja ya kumsapoti mtu wa namna hiyo

Acha kujiuzi mwenyewe, unaongea kama wamekulazimisha uwape support.
 
Huyu mtoto yuko Bright sana....nilimskia kweny interview...pia nmeona ameimba hiyo ngoma ya leo...kametisha...

Sema huyu ukioa lazma akusumbue mana naona shule kidogo si haba [emoji2]
Yani official lyn angekua anaongea kama huyu Abby asee tungekoma[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mawazo ya kizamani, oa mwanamke mwenye akili!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una lolote wewe, unajiita Mcqueenen halafu unaponda watu wanaoongea kiingereza. Kwanini usijipe jina la kikwenu? We mpare vipi wewe!
Sipondi watu wanaoongea kiingereza,,,naponda watu ambao hawajui kiswahili,,,,huoni kuna utofauti?

Sipondi mtu anayejiita McQueen au George ila naponda mtu anayeyapondea majina kama kigwambiti na lumumba...itambue tofauti
 
Huyu Dogo Mimi nimemfahamu kama miaka miwili hivi iliyopita huko IG.Nakumbuka nilimfaham kupitia kipande cha wimbo wa Ben Pol,ambapo Ben alim-tag dogo.
AbbyChams tuko mult-talented mno mno. Gymnast mzuri sana,vyombo vya muziki vingi anapiga.Ananyimbo yake moja hivi ya trap,alitendea haki kabisa.
Pia hata shows za nje ya nchi huwa anafanyaga kama gospel singer mfano Rwanda,SA Mara nyingi ndo huwa naona anapost shows za huku.
Dogo ana exposure ya hatari ambayo kibongo bongo wengi hatuna.Ni muumini wa kanisa la lile lijamaa la SA linaitwa Bushir kama sijakosea.
Lastly dogo namkubari kinyama sio tu kwa kipaji chake na exposure.Ilifika kipindi nikatamani dogo awe pisi yangu(mpaka leo natamani).Imagine nimewahi mDM two times hahaha.
Kama kweli anaukaribu na Diamond,diamond asije niharibia pisi yangu,tutakosana(Wivu ni kawaida).Dogo is under 18 nasubiri akue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitamani nikutukane sema wameshaniban kwenye id yangu ya kwanza
 
Haka katoto jaman kana sauti , kanajua kuimba, kupiga violin , halafu kana akili sana kichwan I, na ni kazuri. Hivi karibuni nimemuona yupo karibu sana na wasafi , na kako karibu sana na Diamond platnums , pia kuna wimbo Mpya wa SUPER WOMAN ambao ameshiriki kuimba na kuandika pamoja na Diamond platnums .

Walahi haka katoto kana kipaji cha kutisha , huyu domo asije tu akafanya kama the late kanumba kwa Lulu , kujifanya anamsaidia kumbe ana yake

Halafu nilisikia umbea ni mtoto wa khadija kopa Sijui ni kweli , mbona katoto ka kishua sana , na kizungu chake sio cha nchi hii , yan inshort this girl ako level za ki international , ako na exposure na elimu yake ndogo imemfanya akokamae kifikra na kihisia , she is so smart , sio kama akina Tunda na lulu[emoji16]

Mungu amsaidie tu afike mbali maana kipaji tu anacho kwa kwelView attachment 1375566

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kanafanana na yule Binti wa Gadna wa Clouds... Kana miaka mingapi now?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom