Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Unielewe unipeleke wapi?
Hutakiwi kunielewa kwa lolote
Na kushoboka namshobokea mama ako?
Shut your butt chicks,too much shit smell!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una lolote wewe, unajiita Mcqueenen halafu unaponda watu wanaoongea kiingereza. Kwanini usijipe jina la kikwenu? We mpare vipi wewe!
Amekwisha huyo, huenda ashadukuliwa. Kosa kubwa ni kukabidhi mtoto kwa domo la simba.Haka katoto jaman kana sauti , kanajua kuimba, kupiga violin , halafu kana akili sana kichwan I, na ni kazuri. Hivi karibuni nimemuona yupo karibu sana na wasafi , na kako karibu sana na Diamond platnums , pia kuna wimbo Mpya wa SUPER WOMAN ambao ameshiriki kuimba na kuandika pamoja na Diamond platnums .
Walahi haka katoto kana kipaji cha kutisha , huyu domo asije tu akafanya kama the late kanumba kwa Lulu , kujifanya anamsaidia kumbe ana yake
Halafu nilisikia umbea ni mtoto wa khadija kopa Sijui ni kweli , mbona katoto ka kishua sana , na kizungu chake sio cha nchi hii , yan inshort this girl ako level za ki international , ako na exposure na elimu yake ndogo imemfanya akokamae kifikra na kihisia , she is so smart , sio kama akina Tunda na lulu[emoji16]
Mungu amsaidie tu afike mbali maana kipaji tu anacho kwa kwelView attachment 1375566
Sent from my iPhone using JamiiForums
Amekwisha huyo, huenda ashadukuliwa. Kosa kubwa ni kukabidhi mtoto kwa domo la simba.
Eti akuze kipaji. Atakuza had kizazi cha huyo mtoto. Sijawahi kumwamini mtu anitunzie mtoto wa kike.
I dont think you understand.
Dogo hajui kiswahili vizuri
Kwa lugha nyngne bongo bahati mbaya
Dogo mimbo yake ni kiingereza tu,24hrs anaongea kiingereza na yupo bongo,post zake zote english.
Huo ni usaliti wa indigenousness kwahyo mtu wa hvo siwezi kumsapot.
Kuna wa kishua wengi ila wanaishi kibongo tu na wanaongea kiswahili ila dogo ana uzungu mwingi,,
Sawa ana talents lakin ni sawa na wale wajinga wa kishua wa masaki wanaorap kiingereza wanakutana wanaongea tu english utazani wako USA.
Siwasapoti kwasababu sina kitu nao in common wale sio watanzania wenzangu in heart.
Ni sawa na USA umkute mtu black lakini anajitenga na weusi wenzake, marafiki zake mke wake wote wazungu,,unakuta hadi anaimba country music mimbo ya kizungu ili kuwafurahisha wazungu kuwa he is one of them...hiyo ni betrayal of culture na weusi hawawezi kumsapoti mtu wa aina hiyo wanamuita "uncle Tom"
Unatumia nguvu nyingi kumuelimisha kolombweOkay sawa.
Naona umejikita kuniattack mimi personally
Lakini hunijui na hufaidiki,I can do the same(attack you) lakini sitaonesha utofauti nawewe....we will go back and forth.
Umesema sijui lugha yoyote...that's fine sikupingi, but atleast I have shown to have the dignity and willingness to learn and respect my mother tongue.
I embrace my originality
I have pride in my indigenousness.
Halafu wewe bado huelewi, mimi
Sipingi mtu kujua kiingereza ila napinga mtu kutojua kiswahili na ni mtanzania.
Kiingereza,french,Germany hata kidutch waache wakijue tu lakini while wanajifunza hivyo wasipuuzie lugha mama kiswahili.
Kwasababu wewe na dunia yako mlikaa kikao mkapitisha english pekee kuwa official lugha ya dunia nzima Sawa
ila Bob Marley anakuambia "you will forever be slaves,you won't be free until you free your minds"
Shida ni kuwa hatuoni haja ya kumdiscuss mtu ambaye haoni thamani ya utanzania.
Ni sawa na kuanza kumsifia baba ako aliyekukana akaikimbia familia eti ana akili hata kama ni professor kwasababu hakuhusu na hakutaki.
Huyo dogo ni moja ya wale wabongo wasiopenda kuwa wabongo.
Nimeelewa sentensi ya kwanza tu...nimemfahamu kupitia InstagramNimemfahamu kupitia Instagram. She is a talented and confident young lady. The future is very promising for her, taking into account the fact that she is coming from a very supportive family. We must take this as a lesson and inspiration to fight for a better life. I believe she has realized most of her potentials because of her family background. It's pointless to argue about whether she knows Swahili or not.
Hii subject nimegundua ni ngeni kwa wengi sana.Mkuu maana ya utanzania kwako ni ipi? Kwani kutokea kwenye familia Bora na kuongea kiingereza kunaondoa utanzania. Unavifahamu vigezo vya kua raia wa Tanzania? Kama unavifahamu kipi ambacho hajatimiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii subject nimegundua ni ngeni kwa wengi sana.
Unaweza kuwa na ngozi nyeusi ila usiwe mtu mweusi.
Unaweza ukawa na cheti cha uraia wa Tanzania ila usiwe mtanzania,,ikitokea chance ya kuiuza nchi unaiuza bila shida.
ishu ni originality.
Labda ili uelewe angalia youtube sketch inaitwa "dave chapelle white supremacist"
Jamaa ni mweusi lakini anachukia weusi wenzake...rangi za nje ni muonekano lakini kuna rangi za ndani za kifikra na zinatambulisha utu wa mtu.
Wale mababu zetu weusi waliowauza ndugu zao into slavery ili wawe karibu na wazungu sio weusi wenzetu.
eti mwalimu wake wa uraia anajilaumu sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Okay bi mkubwa. Wewe utakuwa dada yake maana ningesema utakuwa yeye ningesokea maana yeye hajui kiswahili.
Unamfahamu mzungu aliyezaliwa na anayeishi states au UK halafu hajui kiingereza yeye anajua kiswahili?
Kama lugha sio priority ya kuidentify utaifa wa mtu bali ni mavazi na kujiremba ndo vya muhimu basi mwalimu wako wa uraia anajilaumu sana.
Demu ana sauti nzuri alafu ni mzuri me nimemjua Jana wakati nimeangalia behind the scenes ya wimbo Super woman.Kumbe Uzi umeshamfungulia teyari me nilitaka nimfungulie Leo ila Warumi umetisha Sana.Haka katoto jaman kana sauti , kanajua kuimba, kupiga violin , halafu kana akili sana kichwan I, na ni kazuri. Hivi karibuni nimemuona yupo karibu sana na wasafi , na kako karibu sana na Diamond platnums , pia kuna wimbo Mpya wa SUPER WOMAN ambao ameshiriki kuimba na kuandika pamoja na Diamond Platnumz.
Walahi haka katoto kana kipaji cha kutisha , huyu domo asije tu akafanya kama the late kanumba kwa Lulu , kujifanya anamsaidia kumbe ana yake
Halafu nilisikia umbea ni mtoto wa khadija kopa Sijui ni kweli , mbona katoto ka kishua sana , na kizungu chake sio cha nchi hii , yan inshort this girl ako level za ki international , ako na exposure na elimu yake ndogo imemfanya akokamae kifikra na kihisia , she is so smart , sio kama akina Tunda na lulu[emoji16]
Mungu amsaidie tu afike mbali maana kipaji tu anacho kwa kweli.
View attachment 1375566
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mafisi bado hawajamtia ndani ya 18 tu time will tell.Haka katoto jaman kana sauti , kanajua kuimba, kupiga violin , halafu kana akili sana kichwan I, na ni kazuri. Hivi karibuni nimemuona yupo karibu sana na wasafi , na kako karibu sana na Diamond platnums , pia kuna wimbo Mpya wa SUPER WOMAN ambao ameshiriki kuimba na kuandika pamoja na Diamond Platnumz.
Walahi haka katoto kana kipaji cha kutisha , huyu domo asije tu akafanya kama the late kanumba kwa Lulu , kujifanya anamsaidia kumbe ana yake
Halafu nilisikia umbea ni mtoto wa khadija kopa Sijui ni kweli , mbona katoto ka kishua sana , na kizungu chake sio cha nchi hii , yan inshort this girl ako level za ki international , ako na exposure na elimu yake ndogo imemfanya akokamae kifikra na kihisia , she is so smart , sio kama akina Tunda na lulu[emoji16]
Mungu amsaidie tu afike mbali maana kipaji tu anacho kwa kweli.
View attachment 1375566
Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu ni kwamba shule zote kasoma hapa bongo, ni zile shule International zenye mitaala ya nje ila zipo hapa hapa bongoNlkuwa nakakubali ila baada ya kuchek ile interview wasafi nkaona kumbe hata kiswahili hakajui fresh. .nlkuwa nakakubal kwasabab nlifkiri ni mwenzetu anayetuinspire kutoka chini mpaka juu kumbe ni mtu aliyezaliwa juu tayari ..honestly mtu yoyote angezaliwa kwenye mazingira kama yake hata ambaer rutty angekuwa na hicvyo vipaji au zaidi na angefika hapo au zaidi....
Bora kasijifanye kanainspire watu au kuleta inspiration speeches.
All in all magep yataendelea kuwepo lakini nkiona wakishua hivo sioni kipya
Safi sana,ukitaka uteuzi niambieOkay sawa.