Mfahamu Abby Chams, mtoto mwenye kipaji cha kutisha

Nimemfahamu kupitia Instagram. She is a talented and confident young lady. The future is very promising for her, taking into account the fact that she is coming from a very supportive family. We must take this as a lesson and inspiration to fight for a better life.

I believe she has realized most of her potentials because of her family background. It's pointless to argue about whether she knows Swahili or not.
 
Amekwisha huyo, huenda ashadukuliwa. Kosa kubwa ni kukabidhi mtoto kwa domo la simba.
Eti akuze kipaji. Atakuza had kizazi cha huyo mtoto. Sijawahi kumwamini mtu anitunzie mtoto wa kike.
 

Naunga mkono, umemaliza kila kitu.
 
Unatumia nguvu nyingi kumuelimisha kolombwe
 
Mkuu maana ya utanzania kwako ni ipi? Kwani kutokea kwenye familia Bora na kuongea kiingereza kunaondoa utanzania. Unavifahamu vigezo vya kua raia wa Tanzania? Kama unavifahamu kipi ambacho hajatimiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeelewa sentensi ya kwanza tu...nimemfahamu kupitia Instagram
 
Mkuu maana ya utanzania kwako ni ipi? Kwani kutokea kwenye familia Bora na kuongea kiingereza kunaondoa utanzania. Unavifahamu vigezo vya kua raia wa Tanzania? Kama unavifahamu kipi ambacho hajatimiza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii subject nimegundua ni ngeni kwa wengi sana.
Unaweza kuwa na ngozi nyeusi ila usiwe mtu mweusi.
Unaweza ukawa na cheti cha uraia wa Tanzania ila usiwe mtanzania,,ikitokea chance ya kuiuza nchi unaiuza bila shida.

ishu ni originality.
Labda ili uelewe angalia youtube sketch inaitwa "dave chapelle white supremacist"
Jamaa ni mweusi lakini anachukia weusi wenzake...rangi za nje ni muonekano lakini kuna rangi za ndani za kifikra na zinatambulisha utu wa mtu.
Wale mababu zetu weusi waliowauza ndugu zao into slavery ili wawe karibu na wazungu sio weusi wenzetu.
 
Yule dada aliyeimba kiitikio cha huo wimbo Super woman anaitwa nani? Kwangu ni binti mgeni kabisa na nimependa namna alivyoutendea haki hiyo chorus na presentation nzuri yenye confidence zote kwenye video hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza na kiswahili, zote ni lugha zilizokubaliwa kutumika Tanzania kwa maana mi lugha rasmi. Hivyo lugha yoyote akiitumia kwa hadhira aliyokusudia yeye, bado ni sawa na haimfanyi kutokua mzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti mwalimu wake wa uraia anajilaumu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Demu ana sauti nzuri alafu ni mzuri me nimemjua Jana wakati nimeangalia behind the scenes ya wimbo Super woman.Kumbe Uzi umeshamfungulia teyari me nilitaka nimfungulie Leo ila Warumi umetisha Sana.
 
Mafisi bado hawajamtia ndani ya 18 tu time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ni kwamba shule zote kasoma hapa bongo, ni zile shule International zenye mitaala ya nje ila zipo hapa hapa bongo
 
Safi sana,ukitaka uteuzi niambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…