Mfahamu Andre Stander, polisi aliyeziibia benki na kusimamia kesi hizo kama mpelelezi

This is what is called "I was born a criminal"
Pamoja na babaake kuwa vizuri na connections kibao na Andre kupelekwa shule vizuri tu na kupata kazi kama law enforcer bado akawa jambazi haha. Yakina Sabaya haya, kusomeshwa marekani na exposures kibao mpaka uDC na bado he kept his criminality up in the society dah!
 
Hata mie natamani niibe halafu niqe napeleleza kesi hha ha hatari
 
Haahahahahaha hii story imenikumbusha dogo langu aliniibia redio gheto halafu akawa mstari wa mbele kupeleleza mwizi,Mimi Hata mawazo ya kumshtukia nilikua Sina ila baadae Sana akili zikafunguka nikashtukia mchezo,nikaja baini mpaka sehemu ilipo baadae ya hapo alichezea vitasa vitakatifu na kukiri ni yeye aliyeiiba!
😁😁😁😁
 
Statement niliyoi-bold hapo ni key statement kwenye stori nzima lakini iko ambiguous na hivyo sijaielewa kabisa. That way imeniharibia kanisa utamu wa stori yote

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…