Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom.

Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver.

Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid kwa waafrika.

Masiyiwa 60, alizaliwa 1961 Zimbabwe. Wazazi wake walitoroka naye Zimbabwe akiwa na miaka saba kwenda Zambia wakati mabeberu Ian Smith walipoichukua.

Alisoma primary school Zambia baadaye kutorokea na wazazi wake Uingereza.

Alirudi Zimbabwe 1998 na kuanzisha kampuni ya Telecom wireless jina Econet. Lakini Mugabe akamnyima leseni ikabidi aipeleke serikali mahakamani. Kesi ilichukua miaka tano baadaye akashinda.

Sasa hivi kampuni yake inafanya vizuri sana Africa, Ulaya, Asia na South America.

Masiyiwa anamiliki mali nyingi sana ikiwepo hili ghorofa New York.

43336157-9609357-image-a-29_1621768226726.jpg

Pia pichani hapo chini ni Masiyiwa na mke wake Tsitsi.
43333669-9609357-image-a-13_1621761320807.jpg
 
Hapa bongo kwa kupitia kampuni yake ya Liquid Telecom anamiliki Raha Liquid Telecom ltd wanao deal na internet na pia ana hisa kwenye Tv one.

Aliwahi kufanya townhall meeting pale Diamond jubilee kuhamasisha ujasiriamali kwa vijana wa kiafrika iliyokuwa hosted na Irene Kiwia.
 
Kwa hiyo couple inaonyesha kabisa huyo mama kammiliki bilionea kisawasawa na ana sauti na nguvu kubwa kwa mzee.
Kama namuona vile mzee Machache R.I.P na miss Mirathi.
 
Inakuwaje wanajamvi!

Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom.

Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver.

Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid kwa waafrika.

Masiyiwa 60, alizaliwa 1961 Zimbabwe. Wazazi wake walitoroka naye Zimbabwe akiwa na miaka saba kwenda Zambia wakati mabeberu Ian Smith walipoichukua.

Alisoma primary school Zambia baadaye kutorokea na wazazi wake Uingereza.

Alirudi Zimbabwe 1998 na kuanzisha kampuni ya Telecom wireless jina Econet. Lakini Mugabe akamnyima leseni ikabidi aipeleke serikali mahakamani. Kesi ilichukua miaka tano baadaye akashinda.

Sasa hivi kampuni yake inafanya vizuri sana Africa, Ulaya, Asia na South America.

Masiyiwa anamiliki mali nyingi sana ikiwepo hili ghorofa New York. View attachment 1795167

Pia pichani hapo chini ni Masiyiwa na mke wake Tsitsi. View attachment 1795171
Mbona ana dalili za wale wa secret society ukianza kusoma hii habari unaziona live.Usitamani utajiri watu wala kumlalamikia Mungu kwani akusaidie.Unachokipata mshukuru kula kwa amani dagaa wako kauzu na mgagani pembeni ukisubiri siku ifike roho yako iende na mwili uondolewe duniani.Kuna Siri nzito kwa kila unayemuona "TAJIRI"
 
Yani hizo hela za kuanzisha telecom alizitoa wapi?? Hapo ndio tunahitaji kujuwa.
Mama yake alikuwa mjasiriamali na labda alirithi iyo damu. Ukiondoa hilo jamaa pia alikuwa na conbction picha hapo chini yuko na Tony Blair
43333667-9609357-image-a-15_1621761350423.jpg
pia yuko na Obama
43333671-9609357-image-m-17_1621761354348.jpg
nyingine yuko na mwanzilish wa netflix Reed Harrison
43337239-9609357-image-m-54_1621769066772.jpg
jamaa pia akawa mjanja na kujichanganya na wachungaji kupata mibaraka kama hapo chini yuko na mchunji msela bkak America TD Jakes
43337231-9609357-image-a-52_1621768948728.jpg
Ni connection tu mkuu ukikaa karibu na ua la waridi utanukia tu.
 
Mama yake alikuwa mjasiriamali na labda alirithi iyo damu. Ukiondoa hilo jamaa pia alikuwa na conbction picha hapo chini yuko na Tony Blair View attachment 1795199pia yuko na Obama View attachment 1795201nyingine yuko na mwanzilish wa netflix Reed Harrison View attachment 1795203jamaa pia akawa mjanja na kujichanganya na wachungaji kupata mibaraka kama hapo chini yuko na mchunji msela bkak America TD JakesView attachment 1795204 Ni connection tu mkuu ukikaa karibu na ua la waridi utanukia tu.
Kaa halafu ukinukia utuambie "ukweli" kama utaweza
 
Mama yake alikuwa mjasiriamali na labda alirithi iyo damu. Ukiondoa hilo jamaa pia alikuwa na conbction picha hapo chini yuko na Tony Blair View attachment 1795199pia yuko na Obama View attachment 1795201nyingine yuko na mwanzilish wa netflix Reed Harrison View attachment 1795203jamaa pia akawa mjanja na kujichanganya na wachungaji kupata mibaraka kama hapo chini yuko na mchunji msela bkak America TD JakesView attachment 1795204 Ni connection tu mkuu ukikaa karibu na ua la waridi utanukia tu.
Kiongozi mama na baba yangu ni wajasiriamali na mpaka kesho wamemudu maisha ya kawaida tu.Mimi mwenyewe nabangaiza pia kwa jasho na damu. Hii dunia Ina mambo yake mazito, vijana na wengi wameishia pabaya na kujitoa imekuwa ngumu mpaka kesho kwani gharama yake ni kubwa ndo maana kutwa kukenua meno katika media lakini wapo katika tanuru la moto
 
Ukiwa na idea na kuweza kuandika proposal nzuri kuna wenye pesa wanaweza kukudhamini. Hasa ukiwa Ulaya.

Kuna hadithi moja kuwa mwanamuziki maarufu Mozart alipokuwa anakua alikutana na maskini mmoja akamuomba msaada lakini alikuwa hana kitu; hata hivyo akachukua karatasi na akamuandikia wimbo akampa na yule maskini alikuja uza ule wimbo akapata mamilioni ya fedha!!! To be rich what you need is to have IDEAS that can be translated to wealth!!!
 
Kiongozi mama na baba yangu ni wajasiriamali na mpaka kesho wamemudu maisha ya kawaida tu.Mimi mwenyewe nabangaiza pia kwa jasho na damu. Hii dunia Ina mambo yake mazito, vijana na wengi wameishia pabaya na kujitoa imekuwa ngumu mpaka kesho kwani gharama yake ni kubwa ndo maana kutwa kukenua meno katika media lakini wapo katika tanuru la moto
Ukimaanisha kuwa wengi wao wapo kifungoni ngome1838
 
Back
Top Bottom