Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

Post kama hii utashangaa ina likes chache sana lakin kula tunda kimasihara ina likes zennye ujazo hapo ndio utajua kuna kitu hakiko sawa kwenye jamii zetu...
 
Kuna watu wana imani za ajabu sana ndo maana kufanikiwa kwao ni kitendawili kisichotegeka
 
Ukitaka kufanikiwa at least uanze kuwapenda waliofanikiwa
 
Mwamba nimemkubali muafrika kweli, ana watoto6! No doubt!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
kati ya mwaka 2017 na 2018 kampuni yake ya kwese tv ilikuwa na mpango wa kuwekeza nchini katika biashara ya paytv.

watendaji wake walipoona utawala wa jiwe hauleweki wala hautabiriki, haraka sana wakasitisha mpango huo.
 
Si ajabu walikutana shule na mama ana mchango mkubwa katika mafanikio. Hayo mengine ni mawazo yako.
Hayo mawazo ya et alikua na mchango flan kwenye maisha..ndo yanawafanya muwe nyuma kila siku...yaan utetez wa wanawake umelala hapo.vi slogan kibao.mara nyuma ya kila mwanaume aliefanikiwa kuna mwanamke..etc etc...these kinds of intuitions/beliefs/sayings will always drag you back
 
Kiongozi mama na baba yangu ni wajasiriamali na mpaka kesho wamemudu maisha ya kawaida tu.Mimi mwenyewe nabangaiza pia kwa jasho na damu. Hii dunia Ina mambo yake mazito, vijana na wengi wameishia pabaya na kujitoa imekuwa ngumu mpaka kesho kwani gharama yake ni kubwa ndo maana kutwa kukenua meno katika media lakini wapo katika tanuru la moto
Yaani kama wazazi wako hawakufanikiwa kufikia mafinikio ya juu kabisa haimaanishi kuwa kufanikiwa hakuwezekani. Au kama wewe unabangaiza haimaanishi haiwezekani kupata mafanikio ya kifedha.

Stori za kumuhusu huyu Masiyiwa ziko wazi ukimfatilia kwenye page yake Facebook namna alivyo anza kazi kama muajiriwa wa umma...akaacha akafungua biashara yake ktk construction industry...akaanza ku scale from there...namna alivyonavigate changamoto wakati wa utawala wa Mugabe.

Ukim follow utajifunza mengi kuhusiana na ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom