Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
MOE Ibrahim(Msudani) ni bilionea kitambo huko uingereza aliwahi kuwekeza mtandao wa airtel baadhi ya nchi za Afrika.Hutoa dola laki 500, moe ibrahim award kwamaraisi wanaofanya vizuri Afrika. Ana foindition inaitwa Moe Ibrahimu founditionInakuwaje wanajamvi!
Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom.
Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver.
Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid kwa waafrika.
Masiyiwa 60, alizaliwa 1961 Zimbabwe. Wazazi wake walitoroka naye Zimbabwe akiwa na miaka saba kwenda Zambia wakati mabeberu Ian Smith walipoichukua.
Alisoma primary school Zambia baadaye kutorokea na wazazi wake Uingereza.
Alirudi Zimbabwe 1998 na kuanzisha kampuni ya Telecom wireless jina Econet. Lakini Mugabe akamnyima leseni ikabidi aipeleke serikali mahakamani. Kesi ilichukua miaka tano baadaye akashinda.
Sasa hivi kampuni yake inafanya vizuri sana Africa, Ulaya, Asia na South America.
Masiyiwa anamiliki mali nyingi sana ikiwepo hili ghorofa New York.
View attachment 1795167
Pia pichani hapo chini ni Masiyiwa na mke wake Tsitsi. View attachment 1795171
Huyo sio wakwanza.