Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Ukosefu wa kiuandishi. Nilimaanisha "mwongo mmoja"
Kupitia neno karne thumuni la uzi litabadilika kutoka kujifunza kitu kwnye huu uzi mpaka kukosoana.
Pole mkuu ila kwangu I have learnt something.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukosefu wa kiuandishi. Nilimaanisha "mwongo mmoja"
😄 Asante mkuu ndivyo mambo yalivyo binadamu tunakosea ni kawaida yetu.Kupitia neno karne thumuni la uzi litabadilika kutoka kujifunza kitu kwnye huu uzi mpaka kukosoana.
Pole mkuu ila kwangu I have learnt something.
Katika maboresho yake ya hivi karibuni alisikika akisema " najitengenezea amani yangu ya ndani."[emoji2827][emoji2827][emoji2827]View attachment 2025735
Anthony Loffredo pia anajulikana kama black alien. Anashikilia rekodi ya mtu aliyejifanyia maboresho mengi makubwa kabisa katika mwili wake kuliko binadamu mwingine kwa karne hii.
Ameendelea kushika vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari kwa ujasiri wake kwa kuamua kutenganisha kati ulimi wake, kukata masikio, kutapakaza tatoo toka kichwani mpaka kwenye nyayo, kujitoboa na mwili kwa kuongeza vyuma na hata kukata pua. -- Mpaka sasa amesha fanikisha maboresho muonekano kiupasuaji 34%.
View attachment 2025738
Mwanaume huyu mwenye umri wa miaka 33 sasa, kutoka Ufaransa amejidhamiria haswa katika ndoto yake ya kufanana na elieni "black elien". Kwa sasa sio mgeni katika meza za uparation tena. Hivi karibuni aliamua kufanya maboresho zaidi kwa kuondoa vidole vyake viwili ili kufananisha na ukucha haijatosha alishatoa pia hata mdomo wake wa juu kwa siku zilizopita mapema mwaka huu.
View attachment 2025742
Anthony - amekuwa akijifanyia mabadiliko mwilini kwake karibia miaka kumi sasa - amekuwa jasiri hata kujaribu kuchora tatoo kwenye jicho pamoja na kujua angeweza kupofuka.
Mwaka jana, Anthony alisafiri kwenda Spain kufanya uparasheni ya kuondoa pua kwa sababu aina hizo za uparasheni ni kosa kwenye nchi yake.
View attachment 2025743
Ana matumaini ya kupunguza uonekano wa kibinadamu, pia alishapandikiza vipandikizi kwenye uso vinavyoipa ngozi yake muonekano wa vinundu pia na muonekano wa reptilia kwenye paji la uso na alama ya mpasuko kukatiza kwenye mfupa wa shavu.
View attachment 2025744
Anthony anasema ndiyo kwanza yupo hatua ya tatu katika mabadiliko yake anayoyategemea.
Katika maboresho yake ya hivi karibuni alisikika akisema " najitengenezea amani yangu ya ndani."
View attachment 2025748
😂😂 sisi tunamshangaa kumbe mwenzetu kuna kitu hakipo sawa ndani yake. So sad mda mwingine.Katika maboresho yake ya hivi karibuni alisikika akisema " najitengenezea amani yangu ya ndani."[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
[emoji1] Asante mkuu ndivyo mambo yalivyo binadamu tunakosea ni kawaida yetu.
Nimenyanyua mikono juu siwawezi haki.Hahah tatizo binadamu wa saiv ni wabishi sana.
Huyu ni mgonjwa wa akili[emoji23][emoji23] sisi tunamshangaa kumbe mwenzetu kuna kitu hakipo sawa ndani yake. So sad mda mwingine.
Ndio atajua hajuiKimbembe ni hayo madude yatakapoanza kuoza na kushika kutu mwilini
Hapo kwenye karne ndipo mm pia nkaona uzii huu ni wakijinga kumbe alikosea, akimaanisha muongo, ok.Huyu ana umri gani hadi karne nzima yaani miaka 100 awe anajibadilisha mwili wake?View attachment 2025799
Kivip ndugu? Ebu fikiria mtu ana karib karne tangu aanze kjibadilisha je mtu huyo siatakuwa na miaka zaidi ya mia na awe bado anauwezo wa kufanya atakalo km hilo kweli?Watu kama nyny ndo mnasababsha watu wapate kes za mauaji bila kukusudia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndugu hata mimi nimekuelewa km kumbe ulikosea ukaandika karne badala ya muongo, hapo ndipo akili yangu ilipogoma nikaona huyu mtu sioUkosefu wa kiuandishi. Nilimaanisha "mwongo mmoja"
Shetani mwenyewe hapa kama siyo chizi la kunukaView attachment 2025735