Mfahamu Black Alien: Mtu mwenye ndoto ya kufanana na viumbe vya ulimwengu mwingine (Aliens)

Katika maboresho yake ya hivi karibuni alisikika akisema " najitengenezea amani yangu ya ndani."[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Watu kama nyny ndo mnasababsha watu wapate kes za mauaji bila kukusudia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kivip ndugu? Ebu fikiria mtu ana karib karne tangu aanze kjibadilisha je mtu huyo siatakuwa na miaka zaidi ya mia na awe bado anauwezo wa kufanya atakalo km hilo kweli?
 
Shetani mwenyewe hapa kama siyo chizi la kunuka
 
Kila binadamu huwa na ufala asilimia fulani ila ufala wa huyu mtu ni asilimia nyingi sana
 
Nguvu mapepo imo ndani yake ndo uyatenda hayo sio akili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…