Mfahamu Black Alien: Mtu mwenye ndoto ya kufanana na viumbe vya ulimwengu mwingine (Aliens)

Nachojiuliza hizi gharama za kufanyiwa upasuaji nani analipia?kama ni yeye anafanya kazi kazi kumudu hizo gharama?
 
Nachojiuliza hizi gharama za kufanyiwa upasuaji nani analipia?kama ni yeye anafanya kazi kazi kumudu hizo gharama?
Anajilipia mwenyewe mkuu. Huo ni ulevi wake, ni sawa na kuuliza hela ya pombe kwa mlevi huwa anamudu vipi kulewa kila siku. Lazima kuwepo namna tu.
 
usituaminishe stori za kwenye movie mkuu, sisi sio watoto.
 
Kuna wakati unaweza kujifikiria kua wewe ni mjinga sana ila kumbe kuna wajinga zaidi yako.sasa huyo hizo shida zote za nini.ila hawa watu wenye hii rangi kama yule mfugo wana mambo mengi sana ya ajabu ajabu.
 
Watu washavurugwa sana na hili lyfu, hawana furaha ingawa hela ipo unafikiri nini kitatokea hapo?
 
hela za surgery anatoa wapi? jamani huu ni za idi ya wenda wazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…