Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu

Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

View attachment 3188750

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."

Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
KWANI HUYU JAMAA MNAMUOGOPEA NINI MAANA KILA SIKU MNAMFUNGULIA THREAD HUMU NDANI ZA KUPINGA KUFANYIKA HILO TAMASHA NI KIPI MNACHOOGOPA?
 
Huenda kweli akawa gaidi, inategemea umemaanisha maana ipi

Miongoni mwa maana za gaidi " NI MTU ANAYEENDA KINYUME NA MASLAHI YA MTU/WATU/TAASISI/NCHI FULANI

nadhani hiyo ndio maana yako
 
Karibu saba sana Mzee Dr Zakir Naik . Angusha nondo barabara Kuna watu wanataka waeleweshwa kuwa dini ni upendo kama hao manabii wawili walivyo tufundisha.
 
Back
Top Bottom