Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

KWANI HUYU JAMAA MNAMUOGOPEA NINI MAANA KILA SIKU MNAMFUNGULIA THREAD HUMU NDANI ZA KUPINGA KUFANYIKA HILO TAMASHA NI KIPI MNACHOOGOPA?
 
Huenda kweli akawa gaidi, inategemea umemaanisha maana ipi

Miongoni mwa maana za gaidi " NI MTU ANAYEENDA KINYUME NA MASLAHI YA MTU/WATU/TAASISI/NCHI FULANI

nadhani hiyo ndio maana yako
 
Karibu saba sana Mzee Dr Zakir Naik . Angusha nondo barabara Kuna watu wanataka waeleweshwa kuwa dini ni upendo kama hao manabii wawili walivyo tufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…