Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani ni watu hatari sanaMarekan km kawaida yao ni kupanua makolon yao ya ulimwengu wa sasa. Kwa mfano walianza na hao ulaya mashariki wakasambaratisha kwa sasa karibia eneo hilo lote ni lao, watawala wa karibia nchi za ulaya mashariki wana mizizi ya America. Mashariki ya kat pia ni hivyo tu, napo kuna mizizi yao japo walitaka kuwatingisha kidogo, ila karibia tawala zote za nchi za kiaraabu viongozi wote ni miguu juu kifo cha mende. Hao ndio Americano si watu sport- sport.
Nchi za kiarabu zimejaa vibaraka wa USMarekan km kawaida yao ni kupanua makolon yao ya ulimwengu wa sasa. Kwa mfano walianza na hao ulaya mashariki wakasambaratisha kwa sasa karibia eneo hilo lote ni lao, watawala wa karibia nchi za ulaya mashariki wana mizizi ya America. Mashariki ya kat pia ni hivyo tu, napo kuna mizizi yao japo walitaka kuwatingisha kidogo, ila karibia tawala zote za nchi za kiaraabu viongozi wote ni miguu juu kifo cha mende. Hao ndio Americano si watu sport- sport.
Alikuwa kwenye mission ya CIA, karibu kila alichofanya yalikuwa ni maelekezo ya waajiri wakeMkuu asante kwa jumbe yako inaonekana huyu jamaa alikuwa anaaminika ktk jeshi LA marekani ndio maana hata ilipoandikwa report kuhusu yeye waliipuzia madhara Yake yakaonekana ktk barozi sake za Kenya na tz.hakika sio vzr kuudhia jambo
Ujasusi ni kitu kingine ndio maana hata hapa bongo wanasiasa wanaodhani wameweka mfukoni idara za ujasusi hawajui kuwa wao ndio wamewekwa mfukoni!!
Ukiona jinsi FBI na CIA wanavyoshiriki kwenye uchafu lakini wakiwa na projection za matunda bora baadae kwa Marekani ndio hapo unapoheshimu movement za kijasusi kama nguzo za taifa lolote.
Tuwape TISS mradi wa gesi bana wakue kama CIA (msinitoe macho).

Hilo halihitaji elimu ya Chuo kikuu kujuaHaya ni mojawapo ya mambo ambayo kuyaelewa unakuwa kazi sana, Ukitizama kwa angle nyingine unaweza ukaona CIA wanashirikiana na magaidi.