Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

Cha ajabu ameshindwa kupanda yote kwa wakat mmoja
Ndo maana anapiga nayo picha tu
 
Cha ajabu ameshindwa kupanda yote kwa wakat mmoja
Ndo maana anapiga nayo picha tu
Ko ss tunachojua ana gari moja tu analopanda mda huo Ndo lake
 
Cha ajabu ameshindwa kupanda yote kwa wakat mmoja
Ndo maana anapiga nayo picha tu
Ko ss tunachojua ana gari moja tu analopanda mda huo Ndo lake
 
Kitu kimoja nime note mzungu akiwa na magari mengi hivyo haitishi sana tunaona kama amezaliwa nayo kawaida.....
ndio watengenezaji wa hayo mandinga
ishu inakuja kwa jitu jeusi likimiliki hayo magari
litaonekana kama limevamia party isiyo yake..
litaonekana eidha ni jizi au chawi........
limeshauwa ndugu.....
hata kama hao wamekufa kwa maleria!!!?
habari zote mbaya utaongelewa so sad yaani!!
 
Miisho ya watu kama hawa mara nyingi huwa sio mizuri

sasa mtu ana gari limeandikwa PAGAN unategemea nini hapo??

Biblia yangu inaniambia hivii.....

"MARKO. 8:36-37
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?"
 
Ooh..kumbe huyu ndiye rolu modo wa ginimbi..!!!
 
Mnajifariji tu hayo magari hadi bandarini na uyalipie kodi hadi yaingie barabarani ni zaidi ya bilioni
Mzee baba hapa Bongo wenye uwezo wa kuyanunua hayo wapo sana tu

Nawafahamu watu wengi tu wanaoshika hiyo pesa kutosha kununua hayo Magari

Tatizo ni wataendeshea wapi wakati yanahitaji barabara kama za Dunia ya kwanza lami mpaka majumbani
 
Et Ginimbi wa uingereza 😂😂😂😂😂
 
Kuna mastaa hutumiwa na kampuni za Magari ili kufanya tu matangazo kutokana na ushawishi wao kwenye jamii,utaona mtu anabadili magari kama nguo kumbe ni kampuni zinamtumia kuvutia wateja kwenye magari husika.
 
Cha ajabu ameshindwa kupanda yote kwa wakat mmoja
Ndo maana anapiga nayo picha tu
Ko ss tunachojua ana gari moja tu analopanda mda huo Ndo lake
Hoja ya ajabu kabisa very interesting
 
Back
Top Bottom