Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA
View attachment 1795003
[emoji625]Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR).

[emoji625]Hoyce Temu aliwahi kuhudumu Umoja wa Mataifa Tanzania (UN-Tanzania) kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano lakini pia alipata kuhudumu kama Mtaalamu wa Mawasiliano UN-Tanzania (UN Communication Specialist) na pia Mchambuzi wa Mawasiliano au UN Communication Specialist.

[emoji625]Hivyo Hoyce Temu ana taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka Chuo cha Diplomasia na zaidi ya hilo ana weledi wa masauala ya kidiplomasia kutokana na kufanya kazi UN ofisi ya Tanzania.

[emoji625]kwa kifupi, alichosoma Hoyce Temu ndicho walichosoma maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao kikanuni ni lazima wasome kozi za Chuo cha Diplomasia (CFR) kama kigezo kimojawapo cha kutoka ngazi moja ya daraja kwenda lingine ili waweze kumudu majukumu yao ipasavyo.
Imekaa vizuri
 
Hakuna mtu aliyechafua diplomasia ya hii nchi kama Kikwete,nakumbuka ni wakati wa Kikwete ndipo tulipopata COW of Uganda,Kenya and Rwanda,ni kipindi cha Kikwete ndipo Malawi walitaka kujikatia Ziwa lao,nambie sasa nani kati ya JK na Magu aliyevurunda,usiniambie ile tabia ya kujikomba kwa Wazungu ndo diplomasia
Habari ya ziwa Nyasa ni above uwezo wako wa kuelewa. Haiwezi kuwa sababu ya JK. Kwa taarifa yako mwaka 1967, Kamuzu Banda aliwahi kukianzisha na Nyerere akamtuliza.

COW ingekuwa imefaulu basi ingeendelea ku sustain. I hope JK alifanya vizuri hapa kama mbobezi wa diplomasia za kimataifa
 
Ok, nimeona kwenye profile yake kuwa Ni mwandishi wa habari na mfanyabiashara.
Nani atasimamia BIASHARA zake as you know, BIASHARA za bongo usipokuwepo mapepo yanazifilisi?
Wewe ungeteuliwa ingekuwaje mkuu?
 
Habari ya ziwa Nyasa ni above uwezo wako wa kuelewa. Haiwezi kuwa sababu ya JK. Kwa taarifa yako mwaka 1967, Kamuzu Banda aliwahi kukianzisha na Nyerere akamtuliza.

COW ingekuwa imefaulu basi ingeendelea ku sustain. I hope JK alifanya vizuri hapa kama mbobezi wa diplomasia za kimataifa
Mwambie kikwete ndie alie mpeleka pita akachukue nchi pale.
Amuulize yule mama aichofanyiwa hadi peter kushika madaraka.
Maana yule mama alipokaa kwenye serkali ya mpito ndie alieanza kuongea ongea.
Pita alipoingia alimwambia jk aende wakale samaki wa ziwa lao.
 
Mwacheni huyu mtoto yatima ,laita ungejua jinsi alivyo kulia shida ,usingetoa kauli hizi,bali ungeshukuru uweza wa Mungu aliomfikisha hapo
 
Hakuna mtu aliyechafua diplomasia ya hii nchi kama Kikwete,nakumbuka ni wakati wa Kikwete ndipo tulipopata COW of Uganda,Kenya and Rwanda,ni kipindi cha Kikwete ndipo Malawi walitaka kujikatia Ziwa lao,nambie sasa nani kati ya JK na Magu aliyevurunda,usiniambie ile tabia ya kujikomba kwa Wazungu ndo diplomasia
Magufuli alituharibia nchi na hakuna namna ya kumsafisha tukasahau mambo yake
 
Nilifikiri ni ulimbwende tu,kumbe yuko vizuri nafikiri kapelekwa katika eneo lake haswa.

Nafikiri Mama anataka kuirejesha Tanzania katika Diplomasia ambayo ilichezewa na kuchafuliwa wakati wa Mwendazake.

Hongera Mama umeanza vyema kasoro moja hizi habari za kuteuwa Balozi 60+ zimepitwa na wakati.
Ameolewa?
 
Si zali bali anastahili.tatizo la nchi yetu wengi walio ktk nafasi za uongozi sio viongozi bali wameshika nafasi za watu wanaoweza kuwa na tija kwa jamii na Taifa. Nimependa Mfumo wa mama wa wa kufukua viongozi sahihi huko walipo. Hata anayoyafanya sasa Balozi Hoyce katika jamii ni sifa kubwa ya aina ya watu wanaotakiwa kuwa viongozi.
🙏🙏🙏
 
Mwacheni huyu mtoto yatima ,laita ungejua jinsi alivyo kulia shida ,usingetoa kauli hizi,bali ungeshukuru uweza wa Mungu aliomfikisha hapo
🙏🙏🙏
 
Mwacheni huyu mtoto yatima ,laita ungejua jinsi alivyo kulia shida ,usingetoa kauli hizi,bali ungeshukuru uweza wa Mungu aliomfikisha hapo
🙏🙏🙏
 
Mwacheni huyu mtoto yatima ,laita ungejua jinsi alivyo kulia shida ,usingetoa kauli hizi,bali ungeshukuru uweza wa Mungu aliomfikisha hapo
🙏🙏🙏
 
Mwacheni huyu mtoto yatima ,laita ungejua jinsi alivyo kulia shida ,usingetoa kauli hizi,bali ungeshukuru uweza wa Mungu aliomfikisha hapo
Inatia moyo kwa binti kama yeye aliyetokea maisha ya Arusha police line( Kwa mujibu wa mdogo wake mwenye matusi mengi na explicit clips mtandaoni bi raheli)

Akasoma akaweka nia ya kujiendeleza mpaka pale EoTf ya mama mkapa(Uchaga na luck hapa) ikamsaidia kwenda America Wartburg college and then akapigana akaingia Arizona State University. Maana hata mdogo wake alishindwa kufocus na college huku ukiwa mzamiaji marekani ni kazi ngumu akaishia kuwa hustler.

Karudi dada kajiongeza akawa mwandishi wa habari , connection huku na huku mara paap Balozi mushi na network ya wakati huo ya kina lundenga akapata kazi UN, kwa kipaji kikubwa akamkamata Country don Alvaro rodriguez. Ni juhudi binafsi na determination ngumu wanazopitia wanawake hapa africa.

Bado akasoma PGD na MA saut. Kwa kweli anastahili pongezi na kupewa moyo safari kama hizi sio wote wanaziweza japo wanawake wengi huku trid world wanapitia ngazi kama hizi lakini this one was boombaclat man!

Tumpatie hongera na kazi iendelee.
 
Ok, nimeona kwenye profile yake kuwa Ni mwandishi wa habari na mfanyabiashara.
Nani atasimamia BIASHARA zake as you know, BIASHARA za bongo usipokuwepo mapepo yanazifilisi?
nafikiri ataacha biashara maana akipewa ubalozi nje ya nchi atatengeneza kipato kizuri naamini kushinda hizo biashara zake ambazo naamini ni ndogondogo tu si za kiwango cha akina bakhresa au mo. nampa hongera binti na kwa uhakika mama hajakosea kumteua kwani anayo elimu na uzoefu pia hapo
 
Si zali bali anastahili.tatizo la nchi yetu wengi walio ktk nafasi za uongozi sio viongozi bali wameshika nafasi za watu wanaoweza kuwa na tija kwa jamii na Taifa. Nimependa Mfumo wa mama wa wa kufukua viongozi sahihi huko walipo. Hata anayoyafanya sasa Balozi Hoyce katika jamii ni sifa kubwa ya aina ya watu wanaotakiwa kuwa viongozi.
... zama zile "Temu" asingekaa ajulikane asilani!
 
Back
Top Bottom