Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA

📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR).

📍Hoyce Temu aliwahi kuhudumu Umoja wa Mataifa Tanzania (UN-Tanzania) kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano lakini pia alipata kuhudumu kama Mtaalamu wa Mawasiliano UN-Tanzania (UN Communication Specialist) na pia Mchambuzi wa Mawasiliano au UN Communication Specialist.

📍Hivyo Hoyce Temu ana taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka Chuo cha Diplomasia na zaidi ya hilo ana weledi wa masauala ya kidiplomasia kutokana na kufanya kazi UN ofisi ya Tanzania.

📍kwa kifupi, alichosoma Hoyce Temu ndicho walichosoma maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao kikanuni ni lazima wasome kozi za Chuo cha Diplomasia (CFR) kama kigezo kimojawapo cha kutoka ngazi moja ya daraja kwenda lingine ili waweze kumudu majukumu yao ipasavyo.
... VP atakuwa anahusika na ushawishi hapa. Yeye pia amewahi kufanya kazi taasisi design hizo ofisi za Dar.
 
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA

📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR).

📍Hoyce Temu aliwahi kuhudumu Umoja wa Mataifa Tanzania (UN-Tanzania) kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano lakini pia alipata kuhudumu kama Mtaalamu wa Mawasiliano UN-Tanzania (UN Communication Specialist) na pia Mchambuzi wa Mawasiliano au UN Communication Specialist.

📍Hivyo Hoyce Temu ana taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka Chuo cha Diplomasia na zaidi ya hilo ana weledi wa masauala ya kidiplomasia kutokana na kufanya kazi UN ofisi ya Tanzania.

📍kwa kifupi, alichosoma Hoyce Temu ndicho walichosoma maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao kikanuni ni lazima wasome kozi za Chuo cha Diplomasia (CFR) kama kigezo kimojawapo cha kutoka ngazi moja ya daraja kwenda lingine ili waweze kumudu majukumu yao ipasavyo.
Japo ana Mapungufu yake ( ya Wanawake zetu ) ndiyo maana hata Vitabu vya Mungu vimetutaka tuishi nao kwa Akili, ila Kiupeo, Kitaaluma, Kiuweledi na hata Kidiplomasia pia ameiva na hata tu kwa ' Personality ' yake huo Ubalozi umempendeza na unamfaa pia.
 
Kwa hiyo walikata hilo ziwa au ilikuwaje Mkuu? Kwa nini hawakutata.

Bange ni mbaya sana. Kikwete alijua upumbavu wa Kagame wa kupenyeza vibaraka wanyarwanda kupeleleza nchi. Alcohol akaja kumfanya best yake
Kama kuna ngumbaru analinganisha diplomasia wakati wa JPM na JK na kumponda Jk huyo ni ana akili ya kifutuhi.
Hebu fuatilieni uharo wa Prof. Kabudi alivyokuwa akitokwa mate akizungumzia masuala ya kigeni
 
Hana hata kadegree kamoja Kawa balozi?
Nakumbuka tuliingia naye jalalani university back in 1999 akiwa ni reigning miss Tz, changamoto za ulimbwende vilifanya ashindwe kuendelea na chuo...I think alijiendeleza baada ya kuacha fani ya ulimbwende...
 
Hongera Zake
 
Shukurani mkuu 🙏🙏🙏 kwa nyongeza hiyo
Japo ana Mapungufu yake ( ya Wanawake zetu ) ndiyo maana hata Vitabu vya Mungu vimetutaka tuishi nao kwa Akili, ila Kiupeo, Kitaaluma, Kiuweledi na hata Kidiplomasia pia ameiva na hata tu kwa ' Personality ' yake huo Ubalozi umempendeza na unamfaa pia.
 
Hakuna mtu aliyechafua diplomasia ya hii nchi kama Kikwete,nakumbuka ni wakati wa Kikwete ndipo tulipopata COW of Uganda,Kenya and Rwanda,ni kipindi cha Kikwete ndipo Malawi walitaka kujikatia Ziwa lao,nambie sasa nani kati ya JK na Magu aliyevurunda,usiniambie ile tabia ya kujikomba kwa Wazungu ndo diplomasia
Magu alikuwa tayari ni Mfu !! ukiona sifa kuongozwa na mfu na wee ni mfu tu! kwa maana kuwa alijifia kitambo sana ktk ulimwengu wa kiroho, Tanzania mliongozwa na kivuri tu!! But kikwete ni mtu mpaka leo!! anauelewa wa anacho kifanya,

Labda nikuulize Usipo jikomba kwa Wazungu wewe mwafrica utajikomba kwa Wadengereko?? ata kwa babayo lazima ujikombe vinginevyo husomi vyema km wenzako wa nyumba ndogo!!

Je tutasonga?? na unajua wadenge walivo na majungu wale wanaweza kukusema ukafa hapo hapo. KM hujui kujikomba hufai kuwa Rais hata Ubaba haukufai ndo mpango mzima wa maisha, mbona wewe unajikomba ukweni?

Kama Mimi muongo nenda nyumbani kwako kibabe, ukisema sema mie ndo nawalisha hapa, hkn mtu kusema fyoko, au tema tema mate uone km watoto hawajakutenga na Mama yao! tena nyumbani kwako mwenyewe!

AU nenda ukweni bila kumsifia mama mkwe km utapata mke!!
 
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA

[emoji625]Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR).

[emoji625]Hoyce Temu aliwahi kuhudumu Umoja wa Mataifa Tanzania (UN-Tanzania) kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano lakini pia alipata kuhudumu kama Mtaalamu wa Mawasiliano UN-Tanzania (UN Communication Specialist) na pia Mchambuzi wa Mawasiliano au UN Communication Specialist.

[emoji625]Hivyo Hoyce Temu ana taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka Chuo cha Diplomasia na zaidi ya hilo ana weledi wa masauala ya kidiplomasia kutokana na kufanya kazi UN ofisi ya Tanzania.

[emoji625]kwa kifupi, alichosoma Hoyce Temu ndicho walichosoma maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao kikanuni ni lazima wasome kozi za Chuo cha Diplomasia (CFR) kama kigezo kimojawapo cha kutoka ngazi moja ya daraja kwenda lingine ili waweze kumudu majukumu yao ipasavyo.
Sawa

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA

📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR).

📍Hoyce Temu aliwahi kuhudumu Umoja wa Mataifa Tanzania (UN-Tanzania) kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano lakini pia alipata kuhudumu kama Mtaalamu wa Mawasiliano UN-Tanzania (UN Communication Specialist) na pia Mchambuzi wa Mawasiliano au UN Communication Specialist.

📍Hivyo Hoyce Temu ana taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka Chuo cha Diplomasia na zaidi ya hilo ana weledi wa masauala ya kidiplomasia kutokana na kufanya kazi UN ofisi ya Tanzania.

📍kwa kifupi, alichosoma Hoyce Temu ndicho walichosoma maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao kikanuni ni lazima wasome kozi za Chuo cha Diplomasia (CFR) kama kigezo kimojawapo cha kutoka ngazi moja ya daraja kwenda lingine ili waweze kumudu majukumu yao ipasavyo.
Isije ikawa ni condition ya kufufua zile nyumba za NHC pale Kawe!!
 
Washiriki wa miss Tanzania wengi huwa hawajatulia kabisa !

Hata mavazi yao huwa vichupi , wakogo na ujasiri wa kwenda uchi na kujitoa dhabihu kwa kwenda uchi 3/4 si mchezo!

Wengi uadilifu wao huwa mashakani.

Wanajua kudanga tu zaidi.
 
Kweli kabisa hata ukimucheki Flaviana matata nae ni vichupi chupi kazini
 
VIchupi mbona shega tuu!! naniliu ile haionekaniga!!!! sisi huku tumesha zoea hizo!! na huyu tumemuishi jamani!! sasa nyie wa Mkoa hamnaga Beach zilizo tukuka mnaona ajaaaabu!! Musoma, Mwanza, Ukerewe vichupi ndo zao!!
 
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA

📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR).

📍Hoyce Temu aliwahi kuhudumu Umoja wa Mataifa Tanzania (UN-Tanzania) kama Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano lakini pia alipata kuhudumu kama Mtaalamu wa Mawasiliano UN-Tanzania (UN Communication Specialist) na pia Mchambuzi wa Mawasiliano au UN Communication Specialist.

📍Hivyo Hoyce Temu ana taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka Chuo cha Diplomasia na zaidi ya hilo ana weledi wa masauala ya kidiplomasia kutokana na kufanya kazi UN ofisi ya Tanzania.

📍kwa kifupi, alichosoma Hoyce Temu ndicho walichosoma maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao kikanuni ni lazima wasome kozi za Chuo cha Diplomasia (CFR) kama kigezo kimojawapo cha kutoka ngazi moja ya daraja kwenda lingine ili waweze kumudu majukumu yao ipasavyo.
Na wema sepetu mrembo miss tz wa zamani kama hoyce temu yeye kasoma nini 😂😂
 
Naon kasomea malezi bora🤣🤣🤣
Maana si kazi ndogo kumulea Manunu
 
VIchupi mbona shega tuu!! naniliu ile haionekaniga!!!! sisi huku tumesha zoea hizo!! na huyu tumemuishi jamani!! sasa nyie wa Mkoa hamnaga Beach zilizo tukuka mnaona ajaaaabu!! Musoma, Mwanza, Ukerewe vichupi ndo zao!!
Hahahah kwahiyo wagogo unashauri kutafute sehemu zenye access na beach
 
Ok, nimeona kwenye profile yake kuwa Ni mwandishi wa habari na mfanyabiashara.
Nani atasimamia BIASHARA zake as you know, BIASHARA za bongo usipokuwepo mapepo yanazifilisi?
habari za kitunda kaka.... 😁
 
Back
Top Bottom