she ni baba shelukindo ni baba lukindoHalafu haya majina ya Shekilango na Shemhando ni hayo hayo ya Kilango na Mhando
wasambaa zamani walikuwa wanafikiri mtu kuitwa sheikh ni title ya ujiko
so wakaanza kuongeza sheikh kwenye majina yao.
Yaani mhando ikawa sheik mhando
kilango ikawa shekilango
lukindo ikawa shelukindo n.k
sasa ndo imekuwa hivyo.
Msiba wa juzi ni wa mtoto wake alikuwa anafanya kazi Tbs ni binti wa miaka kama 40 hivi amefariki anaitwa salama shekilango.Juzi nlipita uporoto Street niliona msiba wa mke wake..... Niliona stj kibaooo zimejaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hyo hyoMsiba wa juzi ni wa mtoto wake alikuwa anafanya kazi Tbs ni binti wa miaka kama 40 hivi amefariki anaitwa salama shekilango.
Sent using Jamii Forums mobile app
1979 std 5Marehemu shekilango alifariki 19 may, 1979, nikiwa darasa la tano, one of our relative luteni peter mallya died in that accident, ndege iligonga vilima fulani huko arusha kutokana na hali mbaya ya hewa.
Luteni Mallya, our relative was the only son to his parents.
Siku hiyo gazeti la Uhuru liliandika shekilango na wengine sita wafariki
Sure, mke wa shekilango alifariki mwaka Jana na kuzikwa huko kwao mombo, juzi aliyefariki ni binti yakeMsiba wa juzi ni wa mtoto wake alikuwa anafanya kazi Tbs ni binti wa miaka kama 40 hivi amefariki anaitwa salama shekilango.
Sent using Jamii Forums mobile app