Mfahamu Jenny ,, Paka pekee aliyekuwa akiishi ndani ya meli ya Titanic

Wangekuwa wanatuambia sasa,😚on a Jimmy katuachia janga la meli,usikute siku ya ajali alikuwa anacheka na watoto wake tuπŸ˜€
Paka jenny alishajua kinachoenda kutokea maana si rahisi paka kuhama sehemu anayopewa vyakula kama samaki na maziwa bure,, afu ondoke
 
Inashangaza sana kwa mitikasi ile yote kaponaπŸ˜‚
 
Hizi porojo hazijawahi kuthibitishwa popote
 
Halafu meli ya TITANIC haikuwa kubwa kiviile. Sema kwa wakati huo ndio ilikuwa meli kubwa kuliko zote. Ila pengine kwasasahv ingelinganishwa na meli kama mv victoria
Hata hizi unazozioma kunwa kwa sasa miaka 300 mbele zitakua ni ndogo tu
 
Na wewe fuga paka siku akilala nje na wewe lala nje
 
Halafu meli ya TITANIC haikuwa kubwa kiviile. Sema kwa wakati huo ndio ilikuwa meli kubwa kuliko zote. Ila pengine kwasasahv ingelinganishwa na meli kama mv victoria
hebu acha kuchekesha, likua kubwa ndio, usiifana na ki mv viktoria kachoingia mala 5 kwa titanic. Ngoja nikup calcuulations ndogo then upige hesabu mwenyewe.

Angalia
ilikua na uwezo wa kubeba watu wangapi?
ilikua na vyumba vingapi vya kulala?
ilikuwa na wafanyakazi wangapi?
ilikua na restaurants ngapi?
iliingiza magari mangapi?
ilibeba mizigo ya watu tani ngapi?
ilibeba mizingo ya mli husika kama vyakula vinywaji nk tani ngapi?


achana na mengine takuchoshwa, tafuta hizo details tu then utapata jibu, alafu eti unaifananisha na mv viktoria are you even serious? ndio sasa hivi ziko meli kubwa kuizidi titanic lakini usiifananishe na hiko ki mv viktoria chenu.
 
Ufahamu wake ndipo ulipoishia haina haha ya kuumiza kichwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…